amemaanisha nini ?

amemaanisha nini ?

Punguza utoto maana yake. Kuna vitu unavifanya vya ki-utoto, ambavyo mwanaume (si mvulana) hapaswi kuvifanya.
 
Hadi mwanamke aseme hivyo kuna sababu nyingi mkuu inategemea matarajio yake kwako!

Mfano yeye anataka mwanaume jasiri,anayejiamini n.k
Au kwake yeye mwanaume ni anayetoa pesa za kutosha!
Au kwake yeye mwanaume mbabe ndo anamkubali.. Muulize

...hasa pale anakutaka muende outing halafu kwenye kulipia msosi kwa mfano, unalipa ulichokula, lazima akuambie hii sentensi
 
Hapo ndio Comeback sasa ilipotokea sasa[emoji23][emoji23] wadada wakibongo hawa huwa hawataki mapenzi ya kihindi eti story nyingiiii, wenyew wanataka paipu mpk atosheke halaf ndio ulete stori lkn vingnevyo watakuw wanahadithiana sana kuhusu wewe kuwa jamaa unawez mtengea hpo yeye haziongezi ananipigisha tu story. Kuwa kama Foward ya Liverpool kudadeeeeeki. [emoji23]
hahahaha hapana mkuu, nimekaa nae room mara moja tu, na hiyo siku ndipo nilimwambia nampenda akasema tuwe marafiki tu,nikapotezea stori za mapenzi,nikawa nampigisha stori zingine tu mpaka usiku sana nikaondoka
 
mkuu emu nisaidie, ni act vipi ? nakumbuka miaka kadhaa iliyopita niliambiwa nina mambo ya kitoto

....sasa kama mmefikia hatua ya kuitana baby yeye alitegemea uact namna gani? Au alitaka uact kama mtoto wa mbwa?
 
Humgegedi vya kutosha Mkuu 😜 just ask her Mkuu what did you mean with your statement? Ask her to be more specific on what you’re doing or not doing for her to use that statement against you.

nimeambiwa "u ain't just acting like a man"

hii ina maanisha nini ? anataka niweje ?
 
hahahaha hapana mkuu, nimekaa nae room mara moja tu, na hiyo siku ndipo nilimwambia nampenda akasema tuwe marafiki tu,nikapotezea stori za mapenzi,nikawa nampigisha stori zingine tu mpaka usiku sana nikaondoka
Hapo ndo ulizinguaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha we dogo umenichekesha kweli
"You ain't acting even like a boy"
😂 ningetakiwa nije na id mpya,maana hii nilijijengea sifa ya faza flani hivi,back to the topic mahusiano huwa sijui nimeyakosea nini kila demu anataka anibadilishe kitu
 
[emoji23] ningetakiwa nije na id mpya,maana hii nilijijengea sifa ya faza flani hivi,back to the topic mahusiano huwa sijui nimeyakosea nini kila demu anataka anibadilishe kitu
Sasa utabadilika mara ngapi mkuu??? Huyo demu alihitaji mtombo wewe ukarembaaa...
 
Humgegedi vya kutosha Mkuu 😜 just ask her Mkuu what did you mean with your statement? Ask her to be more specific on what you’re doing or not doing for her to use that statement against you.
anakwepa hataki kusema
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom