AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,650
- 4,756
Usifanye nae kitu chochote...hakufai huyo...mwambie unajua nini kilibidi kiendelee ila hukutaka kumfanya easy come easy go...😳 nitafanya hivo kesho
Lengo ni ndoa...kama hataki ndoa basi achana nae...mwambie nenda kagongwe easy easy huko huko...mimi nataka mke wa ndoa...na una msimamo wa kucontrol hisia..
ATAKUHESHIMU...