Amelipa mahari milioni 4!

Kha! Ukikaa na demu mzee ukamponda hivi, utakujamwita aje tena kweli?
 
hivi aliye zaa ni wajomba au wazazi maana kama mifugo unayo wewe hapange bei dalali
 
Nisingetoa hata millioni mbili
 

baadhi ya koo huwa wankujumlishia gharama za vitu vyote vinavyohitajika na kukupa gharama kuu na kuondoa usumbufu wa kutoa hiki na kile,ila pole sna ndio ukubwa mjomba.
 
nim
Nimekutenga
eona tu nikajisogeza mwenyewe
kisa cha kuumiza kamoyo kangu haka kadogo ni nini?
ila siwezi kukutoa kwa kamoyo kangu haka, kuna wakati kanaanza kuita jina lako kenyewe
nakaambia stop wewe kamoyo ka Jje's maana umetengwa.
basi tu tunasogeza siku na maisha yanaenda.
 
Astaghafirulilah... Tema mate chini.
 
Astaghafirulilah... Tema mate chini.
hahahahhahaha kisa cha kunitenga hivyo kwani ni nini? ukiniaminisha ukweli nitatema mate chini.
shida yangu nisikie tu kutoka kwako
 
As Long wamekubaliana hata ingekuwa Bilion
 
Bikra sina uhakika cz wao ndio wanajua@ bt kwa ninavyomjua itakuwa bikra kapole SNA hana izo
Kapole. .??
brother ungejua huku chuo wanavyofanyiwaga nahisi ungekuwa mpole tu
 
Nimekuja Arusha nikakutafuta ukanichunia. Mi namwachia Mungu tu.
haaaa ile namba yangu haishii 6 bhana, nilisikia ulikuwa unanipigia kwa namba inayoishia 6

teh teh umenikumbusha mbali sana ujue teh
 
Nimekuja Arusha nikakutafuta ukanichunia. Mi namwachia Mungu tu.
Arusha nimejaa tele hata ukiuliza muuza genge yeyote kuwa unamtafuta jje's unanipata bila shida yeyote.

teh teh biashara zangu ziko pande hizo nilizotaja
 
haaaa ile namba yangu haishii 6 bhana, nilisikia ulikuwa unanipigia kwa namba inayoishia 6

teh teh umenikumbusha mbali sana ujue teh
We nitenge tu... mi ntamuachia Mungu.

Shauri zako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…