kipole ndio nini bab..hata kama angekuwa nibikira ndio nni sasa...Bikra sina uhakika cz wao ndio wanajua@ bt kwa ninavyomjua itakuwa bikra kapole SNA hana izo
hahaaaamepewa risiti yake ya EFD?
hahaaa aiseee hawa Pesa kwao ningeni kabisa..Pesa gani zahesabiwa hvyo mpka kuwekwa chini ..yaani wakipewa kuanzia ml.10 wahesabu siwatazizungusha nyumba nzima
hivi unamwoa binti kamaliza masters akiwa amesomeshwa na wazazi wake na ameanza kazi pia wewe uwezo unao na umeishi mjini na gharama unazijua shida iko wapi ukiwapa wazazi wake zawadi 4mKuoa kwa sasa nako ni ujasiriamali
Hahhahahahahha duuuh acha hizo Shem nishasema ujueTeh
haya acha niendelee kupiga hesabu ya mahari niliyotoa nami niteme povu hapa
Ukiongeza 2m nakupa breviskipole ndio nini bab..hata kama angekuwa nibikira ndio nni sasa...
mimi sijawahi kuona kuwa bikira ni big deal katk maisha yngu ijpokuwa nimeshawahi kuzitoa 3,,,but naonaga kawaida tu cuz nisehemu ya mapito ya ukuuaji wawenzetu hawa...
hiyo ml.4 napata Vits used bado iko fit tyu
Baada ya ndoa sitosaidia tena ukweni? Kusomesha ni wajibu wa mzazi. isiwe sababu ya kutwishana gharama!hivi unamwoa binti kamaliza masters akiwa amesomeshwa na wazazi wake na ameanza kazi pia wewe uwezo unao na umeishi mjini na gharama unazijua shida iko wapi ukiwapa wazazi wake zawadi 4m
utasaidia tena kuzidi kwenu kila mtu hubebeshwa mzigo anaofanana naoBaada ya ndoa sitosaidia tena ukweni? Kusomesha ni wajibu wa mzazi. isiwe sababu ya kutwishana gharama!
Starehe garama mkuuNiko maeneo kumpa kampani rafiki wa karibu Erick anafunga ndoa mwezi 5 mwishoni. Sasa nimepata na mshangao tulivyoingia ndani kaambiwa mil5 baada ya kulialia katoa milioni 4 cash katika 5 milioni.
Wajomba wamekomaa hawakupunguza.. Jamani mimi naoa wiki ijayo nimelipa 70,000/= tu.
NB: Wajomba muwe na huruma.... Maisha magumu sana..
Pole ndugu yangu najua unanisoma hapa.
Nimekutengamimi zaidi my shem, but since najua uko bien hata sina wasi wasi
Sina imani na wewe...Not to zet eksitent.
U mzima lkn!
efu sabini unanunua bia ama mtoto aliyehudumiwa na wazazi halafu anakuja kukuhudumia na wewe?Niko maeneo kumpa kampani rafiki wa karibu Erick anafunga ndoa mwezi 5 mwishoni. Sasa nimepata na mshangao tulivyoingia ndani kaambiwa mil5 baada ya kulialia katoa milioni 4 cash katika 5 milioni.
Wajomba wamekomaa hawakupunguza.. Jamani mimi naoa wiki ijayo nimelipa 70,000/= tu.
NB: Wajomba muwe na huruma.... Maisha magumu sana..
Pole ndugu yangu najua unanisoma hapa.
Unalipia "mahali" yote hiyo halafu machine yenyewe labda ni "USED".
Unalipia "mahali" yote hiyo halafu machine yenyewe labda ni "USED".