Nipo kwangu naangalia tv mara simu kutoka kwa rafiki yangu kuhusu mkasa uliomkuta nusu saa nyuma akiomba ushauri kwangu..... Kuna g.f alifika kwake kutokea MZA siku ya 4 sasa lakini akiwa ndani amejilaza baada ya kutoka kazini g.f wake akawa ametoka kwenda bafuni kuoga ile anarudi kutoka bafuni akasikia mlango wa chumba cha mpangaji jirani ukifunguliwa akaamua kuchungulia kuna nini cz g.f wake alimsikia akiingia ila akaona anakawia kuingia chumbani.. so ile kuchungulia mlangoni akaona akiwa amekumbatiana na yule mpangaji mwenzake mlangoni huku akiwa na kanga tu kama alivyotoka bafuni kiukweli alichanganyikiwa na akatoka walivyomwona wakavunga kama kuna kitu kimemwingia jichoni eti jamaa anamtolea... hapa rafiki yangu hata nauli ya kurudi MZA anasita kumpa ambwage ila still hajafanya maamuzi so naomba sana tumsaidie kimawazo tu