Amekumbatiwa imekuwa kizazaaaa

Magoo

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
445
72
Nipo kwangu naangalia tv mara simu kutoka kwa rafiki yangu kuhusu mkasa uliomkuta nusu saa nyuma akiomba ushauri kwangu..... Kuna g.f alifika kwake kutokea MZA siku ya 4 sasa lakini akiwa ndani amejilaza baada ya kutoka kazini g.f wake akawa ametoka kwenda bafuni kuoga ile anarudi kutoka bafuni akasikia mlango wa chumba cha mpangaji jirani ukifunguliwa akaamua kuchungulia kuna nini cz g.f wake alimsikia akiingia ila akaona anakawia kuingia chumbani.. so ile kuchungulia mlangoni akaona akiwa amekumbatiana na yule mpangaji mwenzake mlangoni huku akiwa na kanga tu kama alivyotoka bafuni kiukweli alichanganyikiwa na akatoka walivyomwona wakavunga kama kuna kitu kimemwingia jichoni eti jamaa anamtolea... hapa rafiki yangu hata nauli ya kurudi MZA anasita kumpa ambwage ila still hajafanya maamuzi so naomba sana tumsaidie kimawazo tu
 
Mh balaaa!
 
mwambie tu ampe nauli. Siku 4 tu kashaanza kukumbatiwa koridoni, tena ndani ya kanga moja hata hofu? Hafai huyo
 
labda mchana kutwa walikuwa wanajivinjari hao,hapo huna cha kuuliza kabisa hakufai, yan humohumo anataka kucheza faulo
 
Du! Duni ina mambo. Hapo jamaa hana mtu, kistaarabu ampe tu nauli na ndio iwe mwisho wao
 
Duh, Huyo ni mdebwedo mbwedobwedo siku nne tu tayari. Piga chini atakuua kwa ngoma maana tabia hafichiki.
 
Ampe nauli ili aondoke alaf ndo hivyo tena, km hatampa naul ataendelea kuuweka hapo kwake na kumfanya mshkaj kupata presha bure.
 
Anataka kumwacha ku kuona tu ka kumbatiwa? Mwambie amweleze tu kuwa hakupenda iyo tabia, huenda msichana akabadili tabia.
 
Ilopo amuulize kulikoni atakavyokua anajiumauma atagundua ukweli ulopo ndani yake tu
 
Alimpataje huyo mwanamke!
mwaka jana huyo msichana alikuja Dar kwa ndugu zake.... huyu jamaa alikutana naye mlimani city wakapeana contact na uhusiano ukaanza na sasa ni mwaka na nusu demu huwa anakuja mara mojamoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom