KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,249
- 5,963
- Thread starter
- #21
Wapo baba wengine wanajua kulea mwanamke haoni ndani!!yaani mtoto akimuona baba anapata kichaa cha furaha kuliko akimuona mama
Usemacho ni mkuu ila Bi Mkubwa acha tu aisee. Muda mwingi ameutumia kwa ajili yako tangu ukiwa tumboni kakosa usingizi kwa ajili yako mpaka unakua.
Acha tu mkuu.