habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,788
- 8,755
Ni wakati waoJamani, hata baba ana umuhimu!
Kwa nini zinatumika nguvu nyingi sana kutambua jukumu la mama?? Afanyacho mama ni jukumu lake.
Ni wakati waoJamani, hata baba ana umuhimu!
Kwa nini zinatumika nguvu nyingi sana kutambua jukumu la mama?? Afanyacho mama ni jukumu lake.
samahani mkuu cwez kupata na instrument yake?Ngoma inaitwa Crossroads by Bone Thugs N Harmony.
N.B
Sijaskiliza hiko kipindi muda mref ila mpaka mara ya mwisho walikuwa wanatumia hiyo Crossroads na nafkiri kwa kuwa kipindi kinaitwa [HASHTAG]#NjiaPanda[/HASHTAG] natumai itakuwa hiyohiyo Crossroads mkuu.
Bone_Thugs_N'_Harmony_Crossroads.mp3
Bone_Thugs_N'_Harmony_Crossroads_Instrumental.mp3
Thanks.
weka namba yako ya simu nikurushie watsupsamahani mkuu cwez kupata na instrument yake?
Hahaha mkuuJamani, hata baba ana umuhimu!
Kwa nini zinatumika nguvu nyingi sana kutambua jukumu la mama?? Afanyacho mama ni jukumu lake.
WeweNani kama mama
Hakunaaa,..Nani kama mama