Amejileta mwenyewe sasa mimi sina msaada nae

Amejileta mwenyewe sasa mimi sina msaada nae

Au umeona wivu? Acha mwenzio aende kuchakatwa.

Nyie ndo mnaliwa kimasihara mnapelekwa story zenu kwenye Uzi wa rikiboy, asa huo mwandiko we umekukosea nini!
[emoji16][emoji16][emoji16]Aiseeeeeer
 
Ila zero kuna tetesi zinatapakaa huku na huko kuwa wewe ndiye Ndege John, wengine wakaenda mbali zaidi na kudai wewe ndiye Gudume, hilo unalizungumziaje ndugu mchakataji?
ZERO iQ my self sina ID nyingine,
 
Ila zero kuna tetesi zinatapakaa huku na huko kuwa wewe ndiye Ndege John, wengine wakaenda mbali zaidi na kudai wewe ndiye Gudume, hilo unalizungumziaje ndugu mchakataji?
Hizo ni tetesi tu mhe mjumbe wala hazina ukweli wowote,

Ata tofauti ya miandiko na lugha zetu zinatofautiana hujang'amua hata hilo mkuu
 
Sijui nitamficha wapi anko wako ili mabazazi Kama kina zero wasimpate..kaka ake
Dada ake yani tuna kazi kubwa kuliko. Vijana wanajibebea tu na hawana hata huruma kwa binti zetu. Mfichee, mfundishe aishike dini mengine muachie Mungu..
 
Yaani nkishaona mwandiko eti mi mnc, p, xawa, xafi, najikuta napata picha ya mshamba flani ivi, asokuwa na shule ivi, pesa pia hana, dah ujanja janja tu kwakuwa kamiliki simu, baaaasiiii km ni mwanaume atanitext mara moja hatorudia tena na namba angu atafuta
Wengine wana degree na ni wajanja wa mjini ila wanatumia hizo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom