wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,578
- 29,455
Haaa poleni sana..
Kunywa chai nenda kachakate
Kunywa chai nenda kachakate
Kura ya nini mkuu wa kwetu kapita bila kupingwa
Kura ya nini mkuu wa kwetu kapita bila kupingwa
Kaja kukutajia shida zake.Nipo zangu tu gheto nimelala tayari kuna kiumbe amejipendekeza,
Leo nilipanga nipumzike baada ya kuchoka na mtanange wa jana lakini wapi,
Saa kumi na mbili natumiwa sms na demu simjui kumbe nilikuwa na Namba yake kitambo ila sikuitilia mkazo,
Baada ya kuona sina mpango nae kaamua kujileta kwa kujifanya Amenimisi sasa mimi sina msaada nae,
Nasubiria Muda tu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16] hawa viumbe leo watakuwa wameamka na genye za kushatoAaaah zero, we saa moja? Mwenzako nimeamshwa saa 11 na message hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1270928
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16] hawa viumbe leo watakuwa wameamka na genye za kushato
Hawa watu Hawachi uzinzi ni mpaka Yesu arudi au?Aisee
[emoji41] [emoji41] [emoji41]Aaaah zero, we saa moja? Mwenzako nimeamshwa saa 11 na message hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1270928
Labla mpaka yesu alirudi
Aisee tuheshimiane mkuu