Amejileta mwenyewe sasa mimi sina msaada nae

Mkuu bora uanze kuchakata maana na hii hali ya hewa si mchezo....
Leo nashindwa kuelewa the same nami nimetembelewa na mgeni, hii jumapili ni nzuri mnoo...
 
Vumbi tena mi huwa napiga tizi tu inatosha
Uko wapi nikupitishie?
Mzigo.jpeg
 
Yaani nkishaona mwandiko eti mi mnc, p, xawa, xafi, najikuta napata picha ya mshamba flani ivi, asokuwa na shule ivi, pesa pia hana, dah ujanja janja tu kwakuwa kamiliki simu, baaaasiiii km ni mwanaume atanitext mara moja hatorudia tena na namba angu atafuta
 
Acha mikwara we binti
 
Au umeona wivu? Acha mwenzio aende kuchakatwa.

Nyie ndo mnaliwa kimasihara mnapelekwa story zenu kwenye Uzi wa rikiboy, asa huo mwandiko we umekukosea nini!
Yaani nkishaona mwandiko eti mi mnc, p, xawa, xafi, najikuta napata picha ya mshamba flani ivi, asokuwa na shule ivi, pesa pia hana, dah ujanja janja tu kwakuwa kamiliki simu, baaaasiiii km ni mwanaume atanitext mara moja hatorudia tena na namba angu atafuta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom