moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,130
- 770,191
Mkuu niajeKwani umesahau kulog out ama? Wenye ID mbili mbili na zaidi mna kazi sana. Ulijua unaandika na hiyo uliyoitag ama? ๐๐๐๐ JF ๐๐๐
Mkuu niajeKwani umesahau kulog out ama? Wenye ID mbili mbili na zaidi mna kazi sana. Ulijua unaandika na hiyo uliyoitag ama? ๐๐๐๐ JF ๐๐๐
Pamoja.Pamoja sana mkuu.
Salama kabisa Mkuu moudgulf za masiku tele. Tunapishana sana humu. Natumaini u mzima wa afya. Nafurahi kukuona tena hapa.Mkuu niaje
Hupaswi kuandika mada kuhusu mtu mwingine humu, ukiandika tu huyo mtu ni wewe.Hapana mkuu nina ID mbili tuu na ile kongwe zaidi aliifuta Maxence Melo mwenyewe baada ya kumuomba.