Amechoka kutendwa anahitaji mume

heee shemeji mnanishangaza
yeye anatafuta na wewe ulikuwa hujui umebutuliwa

yani cjui au ndo sitaili mpya ckuizi ukimpiga mtu kibuti umwelezi unatangaza hapa jf
 
jamani labda alifikir akikufanyia 'suprizi' ungeipokea vizuri....
 
twin nilimuacha maana kila mdada humu akiomba msaaada yy anakuwa wa kwanza kutoa ushrikiano,huyu kampigia cm weee mpaka kachoka hapo kuna mume?
heee shemeji mnanishangaza
yeye anatafuta na wewe ulikuwa hujui umebutuliwa
 
twin nilimuacha maana kila mdada humu akiomba msaaada yy anakuwa wa kwanza kutoa ushrikiano,huyu kampigia cm weee mpaka kachoka hapo kuna mume?

ahaaaaaaaaaaaa nimekumbuka
mmmh!!! mwaya hata we moyo wako wa nyama.....
 
twin nilimuacha maana kila mdada humu akiomba msaaada yy anakuwa wa kwanza kutoa ushrikiano,huyu kampigia cm weee mpaka kachoka hapo kuna mume?

πŸ˜€πŸ˜ŽπŸ˜€ kumbe una virus wa wivu anakusumbua ok uckonde tukirudi om tutayamaliza
 
kakaangu ana mke tena wa ndoa takatifu ya mke mmoja tu!!!!!!!!! tafuta mwingine....

Thats my mamushka! Always there for biggie! tena hujamalizia vizuri bado........Wa kufa na kuzikana.
 
Mbona simu inaita tuu? Wacha nikuulizie hapa hapa.....tiGo inapatikana? weka picha kwenye PM ukiwa unaonyesha Mgongo tuanzie hapo kabla sijajicomit, kwa kuwa hujazuia pombe tutaelewana!
 
Kiongozi nakushauri usiendelee. Mi nimeipiga limepokea dume lina harufu ya libeneke.
 
nimechoka KUTENDWA NA
WABABAISHAJI WA MAPENZI
tupe cv yako, umeshatendwa mara ngapi, kama hali ndiyo hiyo basi sidhani kama hapo bado 'pazuri'...mpaka umechoka? Lol! I can only imagine!
 
Kiongozi nakushauri usiendelee. Mi nimeipiga limepokea dume lina harufu ya libeneke.

kwaiyo kaolewa anatafuta nn ss au jamaa anamtenda anataka kutafuta mwingine kabla yakutoka akitoka aingie kwa mwingine
 
Mbona simu inaita tuu? Wacha nikuulizie hapa hapa.....tiGo inapatikana? weka picha kwenye PM ukiwa unaonyesha Mg ongo tuanzie hapo kabla sijajicomit, kwa kuwa hujazuia pombe tutaelewana!

mh ama kweli kumbe nina bahati nilipata mume kiulainiii, sasa haya ndo masharti gani tena yarabi!!! masanilo unataka kuoa mgongo au unaangalia qualities za mke bora! am afraid siku mgongo ukipata msukosuko utamuacha bila talaka.... !!! take careπŸ˜•
 
tupe cv yako, umeshatendwa mara ngapi, kama hali ndiyo hiyo basi sidhani kama hapo bado 'pazuri'...mpaka umechoka? Lol! I can only imagine!

aka kanaonyesha kamekubuhu
 
kwaiyo kaolewa anatafuta nn ss au jamaa anamtenda anataka kutafuta mwingine kabla yakutoka akitoka aingie kwa mwingine

Niko kwenye mkakati wa kujua lengo lake. Inawezekana ni dume linataka kuwa bwabwa!
 
mkuu kila mtu anachokipenda yy anapenda mugongo mugongo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…