Amechoka kutendwa anahitaji mume

Hivi utajiskiaje ukigundua kuwa umefanya wrong judgement?
 
a u serious mdada? make siku hizi wadada mkisha choka kutembeza bakuli, mnatafuta watu waliotulia wakati nyie hamjatulia!. inauma sana, kila la kheri
 
Nothing else swty natafuta mwingine

yeomiiiiiiiiiiiiii!!!! tuwasuluhishe basi
(sasa mbona unatafuta kwa mgongo wa thresd ya lisa....bila hata kumwomba ruhusa, twin.....)
 

ni PM please....seariously! mi ni mtendwa pia ila wa jinsia ya kiume.
 
Mmh hapa JF wachumba wapo kweli 🙂

aliyekuwa amebaki kaoa juzi juzi Geoff ,,Fidel anasomea upadiri .
all ze best mdada !


Firstlady mimi Mayenga nipo ngoja niongeze vocha niwasiliane na binti,maana simu ikinikatikia ni aibu.
 
...Lisa you sound a beautiful woman. Lakini hapo mume awe mrefu naona wengine utakuwa unatukwaza...Mi nadhani muhimu uangalie upendo wa dhati kwanza unaweza kupata mume mrefu lakini ukaishia kulala mzungu wa 4....
 
TULIACHANA tWIN C UNAJUA DEBE LA MCHELE LI;IISHA?

mbona ujaniambia jamani najana tu tul.................mh hizi talaka za online be care ila akuna neno yupo aliyetendwa mwenzangu ngoja nichangamkie tenda sema cm apatikani daa icije kula kwangu
 
mimi nitakufaa sana, nimejaribu kukupigia naona hupokei
 
mbona ujaniambia jamani najana tu tul.................mh hizi talaka za online be care ila akuna neno yupo aliyetendwa mwenzangu ngoja nichangamkie tenda sema cm apatikani daa icije kula kwangu

heee shemeji mnanishangaza
yeye anatafuta na wewe ulikuwa hujui umebutuliwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…