Amecheat then anakwambia ili umsamehe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amecheat then anakwambia ili umsamehe

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Green Apple, Feb 2, 2012.

 1. G

  Green Apple Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna rafiki yangu ananiomba ushauri,boyfriend wake kamcheat after some days akaja kuconfess mwenyewe kwake kwamba he was wrong so anaomba asamehewe eti nafsi inamsuta,je utamshaurije muhusika?
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mimi ningemshauri auvunje uhusiano kwani once a cheater almost always a cheater.

  If he didn't stop himself from cheating in the first go round what is going to stop him from cheating in the next go rounds?

  And cheating is a premeditated act. So why is he conscience-stricken after the fact and not before the fact?
   
 3. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  amsamehe then aendelee na maisha yake
   
 4. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mwambia aendelee tu na jamaa, huyo kaja kusema ujuwe mwaminifu., na mijanume kama hii ndo mi f-ala mana kila kitu lazima likatoe report.

  B'wege kweli kweli, sasa wewe umepewa nje kula kimya kimya nini kwenda kutoa report, kwani umekuwa fox news reporter.
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Afanye kile anachoweza yeye.

  Kama ni mmoja wa wavumilivu amsamehe akijua yaweza tokea tena. . .kama ni mmoja wa wakina sie amwambie achape mwendo, au yeye ndo amsomeshe namba ya viatu amlishe na vumbi juu.
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  sasa wewe ilitaka am-cheat chat
  afu amwambie 'ukome'?

  Lazima aombe msamaha
  ndo fomula ya mapemzi
  ila bado haijapelekwa TBS
  mkuu wa pale sijui kala mbegu za kununulia vifaa vya kupimia.
   
 7. G

  Green Apple Member

  #7
  Feb 2, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  i will try that advice and thats what i thout even me,tatizo gal aambiw kitu kwa huyo boy and am sure anaweza samehe
   
 8. G

  Green Apple Member

  #8
  Feb 2, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  ahahahah hiki kimenishangaza,ujue bora ule nje ndani wasijue?ila cjajua boy nimueke ktk grup gan i see
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Feb 2, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  It's her relationship so she makes the call. If she decides to forgive and continue with the relationship...then that's on her!
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Muambie amsamehe with condition kuwa ikitokea tena hakuna discussion. But its true, once a cheater always a cheater!
   
 11. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #11
  Feb 2, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Aisay sijui tuwaweke wapi, inashangaza sana mimi nawaweka hao kwenye kundi la wapiga vigele gele.
   
 12. G

  Green Apple Member

  #12
  Feb 2, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  word,everything lie on her hand
   
 13. v

  valid statement JF-Expert Member

  #13
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Amsamehe tu...
  si kaomba msamaha bana.
   
 14. G

  Green Apple Member

  #14
  Feb 2, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umeona eeh?kwanza kuna vitu vingine si vya kuambiana katika relationship
   
 15. G

  Green Apple Member

  #15
  Feb 2, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we ungesamehe mkubwa?
   
 16. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #16
  Feb 2, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kabisa kabisa mwanaume ukipewa na mwanamke wa nje kula kimya ili ukitaka tena unapewa...mana vya kimya kimya huwa vitamu sana.
   
 17. v

  valid statement JF-Expert Member

  #17
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  mimi ningekuwa binti, ningemsamehe.
  ujue mwanamke ndoto yake ni kupata mwanaume mmoja.
  wakati ndoto ya mwanaume ni kupata mwanamke mmoja na kutembea na wanawake wengi.
  amsamehe tu, uo ni udhaifu wa wanaume wengi.
   
 18. v

  valid statement JF-Expert Member

  #18
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  mimi ningekuwa binti, ningemsamehe.
  ujue mwanamke ndoto yake ni kupata mwanaume mmoja.
  wakati ndoto ya mwanaume ni kupata mwanamke mmoja na kutembea na wanawake wengi.
  amsamehe tu, uo ni udhaifu wa wanaume wengi.
   
 19. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #19
  Feb 2, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Samehe
   
 20. Mkasika

  Mkasika JF-Expert Member

  #20
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  If he has nothing to hide, then he has no reason to panic. However it will be a pleasure sorting out themselves.
   
Loading...