Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,818
- 9,817
Baada ya mbinu ya utekaji kubuma, kila analofanya linazidi kuchochea hasira dhidi yake kwa uovu alioufanya juu ya ardhi tukufu ya Tanganyika, sasa ameanza kukata moto.
Kilichotokea pale stendi ya Magufuli kimemsononesha sana, tusipo mwombea sidhani kama atafanikiwa kufika 2030 kwa nguvu zake.
Ninamdedicate wimbo wa Pole samaki polee.
Kilichotokea pale stendi ya Magufuli kimemsononesha sana, tusipo mwombea sidhani kama atafanikiwa kufika 2030 kwa nguvu zake.
Ninamdedicate wimbo wa Pole samaki polee.