Ushirombo JF-Expert Member Joined Jan 22, 2013 Posts 3,558 Reaction score 2,711 May 12, 2019 #1 Amehack simu ya mumewe kwenye msg na calls,mume kasafiri huko akaenda kupata kadem, mke akasafiri takribani 1000km akawashike,good enough kawakamata lakin hajafanya fujo ,zaidi sasa anaomba ushauri amuache au Dunia inavijimambo
Amehack simu ya mumewe kwenye msg na calls,mume kasafiri huko akaenda kupata kadem, mke akasafiri takribani 1000km akawashike,good enough kawakamata lakin hajafanya fujo ,zaidi sasa anaomba ushauri amuache au Dunia inavijimambo
agata edward JF-Expert Member Joined Nov 25, 2014 Posts 6,641 Reaction score 9,412 May 12, 2019 #2 Mambo mengine mnatafutaga kufa kabla ya wakati.
Muzine JF-Expert Member Joined May 4, 2017 Posts 32,366 Reaction score 60,480 May 12, 2019 #3 Amuache sisi tumchukue
M Mr commission Senior Member Joined Jul 30, 2018 Posts 109 Reaction score 254 May 12, 2019 #4 Amesafiri km takriban km1000 hakuwaza akiwa safarini maamuzi atakayochukua...?
SaaMbovu JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 6,028 Reaction score 5,355 May 12, 2019 #5 Mwana kulitaka, mwana kulipata.
ThugMaster JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 1,601 Reaction score 2,263 May 12, 2019 #7 Huyu kayataka mwenyewe afanye uamuzi atakaona upo sahihi kwake.
Ibofwee JF-Expert Member Joined Apr 1, 2017 Posts 1,305 Reaction score 2,455 May 12, 2019 #8 Angeomba ushaur kabla hajapanda basi
The Mongolian Savage JF-Expert Member Joined Jul 5, 2018 Posts 9,170 Reaction score 20,202 May 12, 2019 #9 Fanyeni kazi
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 May 12, 2019 #10 Ufinyu wa akili
Gyole JF-Expert Member Joined Sep 20, 2013 Posts 7,008 Reaction score 7,091 May 12, 2019 #11 Kajiroga mwenyewe
shushushu_mchokozi JF-Expert Member Joined Sep 2, 2016 Posts 405 Reaction score 265 May 12, 2019 #12 Demiss said: Amuache sisi tumchukue Click to expand... Nimeipenda hii
Joblee JF-Expert Member Joined Sep 27, 2015 Posts 1,470 Reaction score 1,596 May 12, 2019 #13 Hack mtu ambaye unauwezo wa kuachana naye... Unahack halafu ukifumania huna la kufanya... Alichokitafuta kashakipata, atulie dawa imuingie
Hack mtu ambaye unauwezo wa kuachana naye... Unahack halafu ukifumania huna la kufanya... Alichokitafuta kashakipata, atulie dawa imuingie
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,633 Reaction score 38,733 May 12, 2019 #14 Hakuna mwanaume anaefumaniwa...
wingatereza JF-Expert Member Joined Jul 14, 2016 Posts 1,347 Reaction score 1,740 May 12, 2019 #15 Kwa nini akutume wewe? Au ni wewe mwenyewe unaogopa tusikucheke ujinga? Anyway Mwambie ahackue yaishe.
Kwa nini akutume wewe? Au ni wewe mwenyewe unaogopa tusikucheke ujinga? Anyway Mwambie ahackue yaishe.
Profesa ntare nkobe JF-Expert Member Joined Feb 5, 2018 Posts 6,955 Reaction score 8,144 May 12, 2019 #16 Amuache halafu hawe single mother nani atakaye muoa tena hakuna wajinga wa hivyo
B bCg JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 455 Reaction score 933 May 12, 2019 #17 Huyo mtu aliyefanya hivyo ni wa ushirombo IPI? Igulwa/katente?maganzo? Masakuloni? Bulangwa? au mtaa gani? tuanzie kwanza hapo.
Huyo mtu aliyefanya hivyo ni wa ushirombo IPI? Igulwa/katente?maganzo? Masakuloni? Bulangwa? au mtaa gani? tuanzie kwanza hapo.
M Mamy K JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 3,166 Reaction score 11,161 May 12, 2019 #18 Na yeye atafute bwana, kwani sh ngapi kuleteana maradhi ndani?
ram Platinum Member Joined Oct 5, 2007 Posts 9,345 Reaction score 8,565 May 12, 2019 #19 Mr commission said: Amesafiri km takriban km1000 hakuwaza akiwa safarini maamuzi atakayochukua...? Click to expand... Yaani katoka dar hadi shinyanga kwenda kufumania, dunia ina mambo hii. Niache kula ugali wangu na bamia eti naenda kufumania
Mr commission said: Amesafiri km takriban km1000 hakuwaza akiwa safarini maamuzi atakayochukua...? Click to expand... Yaani katoka dar hadi shinyanga kwenda kufumania, dunia ina mambo hii. Niache kula ugali wangu na bamia eti naenda kufumania
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,272 Reaction score 96,398 May 12, 2019 #20 ram said: Yaani katoka dar hadi shinyanga kwenda kufumania, dunia ina mambo hii. Niache kula ugali wangu na bamia eti naenda kufumania Click to expand... Hii chai umeiamini??? Yaani km 1000 kabisaaa?
ram said: Yaani katoka dar hadi shinyanga kwenda kufumania, dunia ina mambo hii. Niache kula ugali wangu na bamia eti naenda kufumania Click to expand... Hii chai umeiamini??? Yaani km 1000 kabisaaa?