kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,299
- 6,321
Huyu ni Sharifu alikuwa ana staili ya kuimba mashairi ya kibabebabe hivi,nilipenda sana staili yake. Huyo anayemzungumzia mdau hapo ni Stan Boy ameimba pia na AY katika wimbo Wa "Mademu watafutaji" kama sikoseiHuyo dogo ndio yule kwenye ngoma ya Komaa Nao anachanika verse ya pili kutoka mwisho (kabla ya Snare) anasema:
Ni mkoleza moto namna hiyoo..
Upanga mashariki kisiwa cha burudani...
Hamfanani na sisi tunavovaa...
Hamfanani na mimi ninavong'aa...
Sijidai hata kwetu nikila pilau...
Ndio huyo dogo?
Ama ni yule kwenye ngoma hiyo hiyo anafoka:
We muongo usizushe...
We mtata ah ah usiniguse..
Chora mstari nivuke, niruke...
Mwingine aige apasuke...
Sent using Jamii Forums mobile app