Ambrose Dunga: Producer aliyezivunja vunja Bongo Records, MJ Records kwa ma-beat makali yenye 'back vocals'

Nakumbuka sana kipind hicho nikiwa o level vidato vya chini kabisa

Mwanzo nilikuwa najua huyu jamaa ni msanii wa TMK (kukosa details+unjuka) baada ya kumuona sana na kina temba na kwenye video zao atamuona anacheza mapnga,

Nilivokuja kutulia ndo nikajua mangoma na back vocals zenye radhaa ni za huyu jamaa

Karibu kiumeni TMK
wanaume kazini
kinoma noma
popote ya joh makini
manuva ya makini
nyimb nyngine ya ray c
matonya

Utasikia mandugu dig'
 
Na kuna Bwana anaoitwa Lindu, alikuwa mtayarishaji wa muziki wa hiphop miaka ya 2000s, sijui kama mpaka sasa bado anendelea na kazi hiyo. Alikuwa ni mwenye mwili sana (mnene) na anaonekana kama mzembe mzembe ila beat zake sasa ni balaa, moja ya kazi yake ni hii alifanya na Chid benz inaitwa natubu (2005)
Lindu beno ndulu
 
Dance kicheche... Kichecheee....
Dance kicheche... Kichecheee...
Nasema njooo (nakuita kuita)
Nikukaribishe kiumeni!

Dunga ni nyoko!
Nimeusoma huu Uzi kwa huzuni sana hamna producer niliyekua namkubali hapa tz kama Dunga.. Umemuelezea vizuri sana.. Na vile niko bar napata moja moto moja baridi huku kwa mbali inapigwa bia tamu ya Mario mara sandakalawe ya Jeshi, yaani nahisi ni kama makelele tu hamna ladha ya mziki bali kuna adha kadha wa kadha..... Aisee Dunga ajengewe tu sanamu na aliyemfanyia figisu ili atimuliwe bongo alaaniwe yeye na ukoo wake wote.. By the way umri wangu unapaa lakini bado sijafanya kitu cha maana... Hapo nimekumbuka temba alivokua anakazia "hii beat ya Dunga"!!! Da siku ziko kasi sana r.I.p YP..
Nikicheki majukumu yananandamaa..
Oya jamaa umri unakwenda...
Basi bana ngoja niishie hapo niendelee kuichapa Serengeti taratiiiiiibu.. Happy new yearrrrr
 
😃😃😃😃😃
 
Na kuna Bwana anaoitwa Lindu, alikuwa mtayarishaji wa muziki wa hiphop miaka ya 2000s, sijui kama mpaka sasa bado anendelea na kazi hiyo. Alikuwa ni mwenye mwili sana (mnene) na anaonekana kama mzembe mzembe ila beat zake sasa ni balaa, moja ya kazi yake ni hii alifanya na Chid benz inaitwa natubu (2005)

Aysee nilihangaika Sana kumjua producer wa natubu ya Chid Benz! Aysee ile beat ina ujazo Sana,na ile ngoma ni "sala" tosha yani!!bless up
 
Na kuna Bwana anaoitwa Lindu, alikuwa mtayarishaji wa muziki wa hiphop miaka ya 2000s, sijui kama mpaka sasa bado anendelea na kazi hiyo. Alikuwa ni mwenye mwili sana (mnene) na anaonekana kama mzembe mzembe ila beat zake sasa ni balaa, moja ya kazi yake ni hii alifanya na Chid benz inaitwa natubu (2005)

Bro!! Niambie chochote kuhusu Chizan brain,namkubali Sana mwamba yule
 
Ambrose Dunga alihama kutoka Nairobi kuja Dar kufanya kazi na aliifanya kwa paasion sana. Ni mkenya aliyeisogeza Bongo Flavour mbali mno ni unforgettable legend. Sijajua kama ubunifu wake umemlipa au unamlipa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom