Ambiguity of languages

Ambiguity of languages

kwa kiswahili ngumu bhana mh! same meaning different words ngoja waje
 
Change this sentence in Swahili? No thanks. Translate this sentence into Swahili. However, you could change it into plural or anything, but not into Swahili or any other similar language. Goodday!

Umepataaa Makanyaga trick ilikuwa hapo sasa nakutumia zawadi yako ila itakatwa ongezeko la thamani, gharama za kutuma na kutoa,gharama za bundle na handling charges
 
Last edited by a moderator:
Change this sentence in Swahili? No thanks. Translate this sentence into Swahili. However, you could change it into plural or anything, but not into Swahili or any other similar language. Goodday!

angalau hata wewe unaweza ukawa umetuokoa mshana jr anataka kutukausha chai zetu tumboni asubuhi hii. wengine tumekunywa bila kitafunio yuko wapi afunge uzi jibu gumu sana.
 
Atakayeweza analamba mwekundu fasta
Haya mshana jr, na wewe kumuuliza mtu ni wangapi kuzaliwa katika familia yake utasemaje kwa kiingereza. Ukipata unalamba wekundu wawili fasta, twende kazi!
 
Haya mshana jr, na wewe kumuuliza mtu ni wangapi kuzaliwa katika familia yake utasemaje kwa kiingereza. Ukipata unalamba wekundu wawili fasta, twende kazi!

Mmh Gwangambo walete kwanza hao wekundu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom