Kuziwa
JF-Expert Member
- May 23, 2011
- 248
- 212
habari wanajamvi,
kuna shindano flani nimeshiriki na nimeshinda, ila zawadi zao wanatoa kwa gift codes za amazon.com, nimeshaingiza hiyo gift code kwenye account yangu ya amazon, ishu inakuja kwenye kununua kitu kwa amazon, trust me, nilifungua account tu amazon kwa ajili ya hiyo zawadi ila sina utaalamu wowote wa kununua kwa amazon, nipo Mwanza, je nikinunua kitu kwa balance niliyo nayo amazon.com nitakipataje, je Tanzania kuna maduka yanayo kubali manunuzi kwa amazoni?
nitashukuru kwa mchango wenu.