Mkuu asante kwa mchango wako,sisi tunatumia cement na mchanga lain mzur sana wa CHIMBO LA KAGAMBO BAGAMOYO,mfuko mmoja wa cement kwa tofal hiz za sh 800 natoa tofali 30,lakin kuna grades had za tofali 24 kwa mfuko ila bei tofauti.Ratio ya maji kwa cement ni 0.25.1 kwa kuwa maji meng kwenye mchanganyo yanaharibu pia ubora.Tofali kuwa standard au sio inategemea,lakin kwa Tanzania tofal za inch 5 sijui nani aliset hiv,kwa hiyo nikisema niweke international standard hapa kwetu hautauza.Ingawa tunatumia viongeza mchanganyo lakin tuko makin sana pia na utunzaj mazingira,kuhusu compressive strengh pia tunazo za 25 N/mm square)min,na zaid kutegemea mahitaj,KARIBU SANA.