Amazing Quality Cement Blocks (Matofali) at 800/= Tsh. Only..!!

Amazing Quality Cement Blocks (Matofali) at 800/= Tsh. Only..!!

Why from pakistan cement while we have a very unvompared quality cement?
Wasingetaja mambo ya pakistan ningehamasika lkn kwa kukosa uzalendo kwenu basi I hv no interest
 
Nikihitaji tofari 2200 toka site kwenu mpaka Kigamboni (Kibada) itanigharimu kiasi gani pamoja na usafiri?
Mkuu asante kwa interest yako,jumla pamoja na USAFIRI itakua 2,640,000/=...kwa kuwa TUNAJALI WATEJA WETU,TUTAKUPUNGUZIA LAKI 1,itakuwa 2,540,000/=,yan tunakupangia vizuri mzigo site kwako........0764 468 469 KARIBU SANA MKUU...!
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Tunauzalendo lakin panapokua na UBORA tunasema ukwel,mfano ukitoa tofal 20 kwa cement ya bongo,na 20 kwa cement ya pakistan,ZINAKUA TOFAUT KABISA UBORA,pia Cement za hapa wanapiga bomba mfuko unapungua,I LOVE TANZANIA,ila tuboreshe vyetu,then TANZANIA KWANZA.
 
Karibun wateja kwa matofali yenye vionjo maalum ili kuongeza ugumu na uimara wa tofali lenyewe,pia kwa BEI POA KABISA.....KARIBUNI SANA.
 
Mkuu asante kwa interest yako,jumla pamoja na USAFIRI itakua 2,640,000/=...kwa kuwa TUNAJALI WATEJA WETU,TUTAKUPUNGUZIA LAKI 1,itakuwa 2,540,000/=,yan tunakupangia vizuri mzigo site kwako........0764 468 469 KARIBU SANA MKUU...!
Ahsante sana Kiongozi, ufafanuzi zaidi hiyo bei ya jumla umeipataje? I.e naomba mchanganuo wake.
 
Asante SG8 kwa ushiriki wako,mchanganuo uko hiv,tofali moja ni sh 800/=,usafir wake ikiwamo bei ya kupakia,kusafirisha na kushusha site ni sh 400/,ina maana tofali moja had site ni sh 1,200/.Kwa tofali 2,200 inakuwa ni 2,640,000/ sasa tunakufanyia PUNGUZO KWA UJUMLA laki 1,kwa hiyo tofal had site tayar kwa ujenzi ni 2,540,000/=.KARIBU SANA MKUU,MAANA KWA UBORA WA TOFAL ZETU UTALETA MTEJA MWINGINE.....
 
Nashukuru kwa ufafanuzi, lakini hata hivyo umesahahu kama kwenye post moja hapo juu umesema ukinunua zaidi ya 2000 unapata discount? Swali la pili hivi mtu akihitaji mzigo wa uhakika kuna uwezekano wa kwenda kufanyia hiyo kazi kwenye site yake badala ya kusafirisha? Mfano mtu anataka tofari 5000 na kuendelea?
 
Ndio mkuu SG8,katika PUNGUZO LA LAKI 1 ndan yake kuna punguzo la ile sh 20,yan toka sh 800 had sh 780,ina maana mtu akija na usafir wake na akachukua tofal zaid ya alfu 2000,punguzo liko pale pale....SWALI LA 2,kama unataka tofali alfu 5,tunaweza kuja kufanyia kazi site kwako.cha msing kuwe na access ya maji na umeme,INAWEZEKANA KABISA MKUU,KARIBU SANA TUKUFANYIE KAZ YA UHAKIKA.
 
Ingawa BEI itaongezeka,haitakuwa sh 800,kwa kuwa ntakuwa na gharama za usafir wa cement,mchanga,mashine n.k.....Pia kama unaweza kununua kila kitu mwenyewe kasoro admixtures tukakufanyia kaz kwa malipo ya sh 150 tu kwa kila tofali kufyatuliwa vizur na kupewa huduma zote had kuwa tayar.
 
HALAAL Company Ltd at
TEGETA Nyaishozi,along side BAGAMOYO Road,DAR ES SALAAM, brings you a
very special offer......!
Quality Cement Blocks at only 800/= Tsh,manufactured by using GENUINE
LUCKY CEMENT from PAKISTAN,DAWASCO TAPE WATER,ADMIXTURES(Improve
quality),QUALITY MASHINES and COMPETENT OPERATORS....ALSO we do have
CONCRETE BLOCKS(tofali za kokoto) with a very GOOD CEMENT RATIO and
QUALITY AGGREGATES at 1200/= Tsh for 5 inches and 1400/= Tsh for 6
inches .....
For a QUALITY BUILDING,build with HALAAL Company Ltd....0764 468 469,,,,
''WELLCOME ALL''....

usafiri je
 
Usafir upo tunao,ila bei ya sh 800 ni bila usafir,kwa hiyo tunaangalia umbali na kukupa bei ya usafir,lakin kwa wastan tofal had kufika site inakuwa kati ya 1000 had 1200 ndan ya Dar na baadh ya sehemu za mkoa wa Pwani.
 
Karibuni wateja wengine pia,Eng Ayoub (Mkenya) alinunua tofali zetu baada ya kutest kwa KUPIGA CHIN tofali,na anaendelea na ujenz wa nyumba kubwa,MAKONDE MBEZI BEACH....Karibun sana.
 
Weekend ndio muda mzur wa kufanya MANUNUZI,karibun nyote mpate,MATOFALI,MATOFAL YA KOKOTO,PAVERS,PANELS,LOUVERS,VYUNGU VYA MAUA n.k kwa bei poa kabisa!
 
Weekend ndio muda mzur wa kufanya MANUNUZI,karibun nyote mpate,MATOFALI,MATOFAL YA KOKOTO,PAVERS,PANELS,LOUVERS,VYUNGU VYA MAUA n.k kwa bei poa kabisa!

Bunku B pamoja na usafiri ni shilingi ngapi? Mkifyatua pavers nyumbani kwangu ufundi unakueaje
 
Sis tuko TEGETA NYAISHOZ,wewe mteja wetu wa Bunju B karibu sana tukuuzie mawe(tofal ngumu) ukajenge had vitukuu vyako vifaidike na wajukuu wao,KARIBU.
 
BUNJU B pamoja na usafiri ni sh 1050/= tu kwa KILA TOFALI,tunakupangia mzigo wako had site kadr unavyotaka...Kuhusu kufyatulia Pavers nyumban kwako kila kitu(production cost) kwako tutakufanyia sh 100 lakin ukiwa unahitaj nying zaid tunaweza kushuka had sh 80...karibu sana mkuu tukufanyie kaz ya uhakika,maana kila mteja wetu analeta mteja mwingine.
 
Karibun wateja wetu,mzigo upo wa kutosha...!
 
For a better home,office...BUILD WITH our BLOCKS!
 
Karibun wateja mpate matofali yaliyotengenezwa kwa kutumia utaalam ikiwamo kuweka admixtures kwa ajil ya kufanya tofal iwe ngumu na isiyotoa mipasuko daima!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom