Amazing Quality Cement Blocks (Matofali) at 800/= Tsh. Only..!!

Amazing Quality Cement Blocks (Matofali) at 800/= Tsh. Only..!!

Bei zetu ni halali kabisa,VALUE FOR MONEY...Na kwa hakika ndio NAFUU ZAIDI kuliko popote Dar es salaam,kwa kuwa gharama za uzalishaj ziko juu sana....
 
Ḥalāl (Arabic: حلال‎ ḥalāl, 'permissible') is a term designating any object or an action which is permissible to use or engage in, according to Islamic law. The opposite of this word is haraam.

Kwa hivo nikifungua biasahara nikaiita HARAAM BRICK MAKERS itasomekaje? Kwa msimamo huohuo kuwa ni neno tu la kiarabu?

Uislaam haukubinafsisha hilo neno ! Linatumika, pale kinapofanyika kitu au jambo lenye 'specification' maalum za kufuata itikadi ya dini ili kutofautisha na taratibu zingine zisizo za kidini.
Kifupi ni kuwa: tofali halina standard za kutengeneza Kiislaam !
 
Asante sana ndugu Ally Kombo kwa elimu safi...!
 
Je unatoa na huduma ya usafiri? Lets say Mpaka kimara mwisho...
 
Je unatoa na huduma ya usafiri? Lets say Mpaka kimara mwisho...

Huduma ya usafiri ipo,tofauti na ile bei ya tofali kwa sh 800,utaongeza sh 300 kwa kila tofali kupakiliwa,kusafirishwa na kushushwa had site yako tayar kwa ujenzi....Hii bei ya usafiri inategemea UMBALI,lakin karibu ofisin tunaweza kushauriana zaidi,KARIBU SANA kwa UJENZI IMARA.
 
Ubora wa tofali hutegemea vigezo vingi ikiwamo AINA YA MCHANGA unaotumia,MAJI yasiyo na CHUMVI,CEMENT BORA,Mashine yenye MTETEMO (Vibration) na MSUKUMO (Pressing power) bora,uzoefu wa MAFUNDI n.k
Kwetu yote hayo TUNAZINGATIA.....Karibuni sana!
 
Utaratibu huwa kwa bei hiyo juu,ni bila usafiri,ila ukichukua matofali kuanzia 2,000 tunakufanyia punguzo hadi Tsh 780/= ili ikusaidie katika transport.Usafiri unapatikana huku au unaweza kuja na wako,karibu ofisin tuongee vizuri tutafikia muafaka,KARIBU SANA...
Mkuu ebu nipe gharama za usafiri wa tofali 5,000 mpaka kinyerezi ili ikiwezekana mm nilipe pesa yote kisha nikae saiti kuhesabu tofari zinazoingia.
Na umesema ni cement ya njee,vipi ubora wake?
 
Mkuu ebu nipe gharama za usafiri wa tofali 5,000 mpaka kinyerezi ili ikiwezekana mm nilipe pesa yote kisha nikae saiti kuhesabu tofari zinazoingia.
Na umesema ni cement ya njee,vipi ubora wake?

Ni cement ya Pakistan,kwa sasa ndio bora na ghali kuliko zote nchini,ni kali sana kujengea na haijapunguzwa(kupigwa bomba)....Bei ya tofali 5,000 itakua ni Mil 6 inamaana unakuwa umelipia kila tofali sh 1200 kuanzia kupakia,kusafirisha na kushusha site kwako tayar kwa ujenzi,...LAKIN TOFALI 5,000 NI NYING SANA,CJUI PLAN yako ikoje!
 
Ubora wa tofali hutegemea vigezo vingi ikiwamo AINA YA MCHANGA unaotumia,MAJI yasiyo na CHUMVI,CEMENT BORA,Mashine yenye MTETEMO (Vibration) na MSUKUMO (Pressing power) bora,uzoefu wa MAFUNDI n.k
Kwetu yote hayo TUNAZINGATIA.....Karibuni sana!

..........mie naishi maeneo ya mbezi beach, nataka tofali za shimo la maji taka kubwa la duara 400 je zako zina faa !
 
Mbona unasema genuine Pakistan Cement kwani kuna FAKE?
Personally kwenye cement huwa natumia made in Tanzania ili kaka na dada zangu wasije kuwa retrenched/redundance na pia serikali ipate KODI stahiki.
Sielewi kwa nini Serikali bado inaruhusu cement ya nje wakati demand ya cement Tanzania ni 3milioni tons na viwanda vinne Twiga 1.4mil Tembo 0.35 Simba 1.2 na Rhino 0.75 wana uwezo wa ziada kufeed demand ya inchi.
Naona mpaka haw 4 players wakianza fanya redundance na kupunguza uzalishaji serikali ndo itaaanza kuwa serious
Na kuna vumi kama upepo kuwa Pakistani cement iko na magnesium nyingi such that husababisha Cracks ukijengea?
Ni hayo tuu
Wako Made in Tanzania
 
Asante sana mkuu,hata mim ni Mzalendo tatizo tunashindwa kushindana na baadh ya wenzetu wa nje...CEMENT zinapunguzwa(kupigwa bomba) mfuko unakua haujajaa vizuri,pia na ukali wa cement yenyewe,adhesion(ushikamano) inakuwa kubwa zaid kwa hii kuliko zetu(TBS wameidhibitisha kuwa inafaa).CRAKS zinasababishwa na kumwagia maji ya chumvi,kutokumwagia zaid ya siku 7,mchanga mnene na ratio mchanga mwing kuliko cement,mashine zisizo na mtetemo na mkandamizo mkubwa kama hiz za mikono(BAM BAM).MAGNESIUM ndio kiungo bora katika kutengeneza mshikamano kati ya cement na mchanga(COMPLEX COMPOUND)hivyo ndio inazidisha UBORA!GENUINE kwa sababu zipo wanazoita za PAKISTAN lakin majina ya wanyama au milima ya hapa,pia kuna jina la kiwanda cha hapa hapa,lakin pia inaitwa ya Pakistan,had rangi za nembo zinafanana....TUKIWEZA KUDHIBITI UBORA BIDHAA ZETU KWANZA,ZA NJE BAADAE.
 
Ndugu mteja,kutokana na hali ya hewa ya Dar es salaam,ukuta wa nyumba huanza kunyonya unyevu taratibu toka chin,ambao kwa kuwa una asili ya chumvi chumvi husababisha MPASUKO kama tofali halikuwa na KIWANGO chenye ubora.....SULUHU ya tatizo hilo JENGA NA HALAAL Company Ltd...KARIBUNI SANA.
 
Pia tuna PAVING blocks,Nguzo za fensi,vyungu vya maua na urembo,urembo wa fensi n.k....KARIBUNI SANA.
 
Ndugu mteja,kutokana na hali ya hewa ya Dar es salaam,ukuta wa nyumba huanza kunyonya unyevu taratibu toka chin,ambao kwa kuwa una asili ya chumvi chumvi husababisha MPASUKO kama tofali halikuwa na KIWANGO chenye ubora.....SULUHU ya tatizo hilo JENGA NA HALAAL Company Ltd...KARIBUNI SANA.

umeanza kudanganya

suluhisho la tatizo hilo ni kutumia damp proof course/membrane (hessian/bituminous felt)
 
umeanza kudanganya

suluhisho la tatizo hilo ni kutumia damp proof course/membrane (hessian/bituminous felt)

Asante kwa elimu mkuu,lakin mim natoa kama tahadhari,yan kujihami pia kwa wasio na uwezo wa kununua hivyo vitu.PROUD HAVING U AS JF MEMBER,kwa kuwa pia unatoa elimu,KARIBU SANA HALAAL Company Ltd.
 
Karibu upate tofali bora kabisa,ambazo tofauti na cement,mchanga na maji bora,tunaweka kiungo FLY ASH ambayo huyeyusha LIME yote ndani ya mchanganyiko wa cement na mchanga na kufanya tofali liwe bora kabisa!
 
Kwa kuwa CEMENT zina OXIDES za calcium,magnesium,silcon n.k,baada ya mchanganyiko na maji+ mchanga,kuna mabaki ambayo yasipotibiwa husababisha mipasuko(CRACKS) baadae.HALAAL Co Ltd tunadhibit tatizo hilo kwenye tofali zetu.KARIBUNI SANA.
 
Tofali zetu za KOKOTO pia zina ubora wa hali ya juu,kwa kuwa zina uwiano mzuri wa cement na kokoto ngumu....KARIBUNI SANA.
 
Sijaelewa ujue, hapa ni matangazo ya biashara au? Samahan lakin napita tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom