Amazing Quality Cement Blocks (Matofali) at 800/= Tsh. Only..!!

Amazing Quality Cement Blocks (Matofali) at 800/= Tsh. Only..!!

Leo WEEKEND wakuu,karibun sana Halaal mje kupata bidhaa za cement zenye ubora wa hali ya juu,KARIBUNI SANA.
 
Asanten sana wana JF,napata wateja wengi sasa toka humu,wengine KARIBUN PIA.
 
Nataka kujua nyumba ya vyumba vinne inahitaji tofar ngapi
 
Nataka kujua nyumba ya vyumba vinne inahitaji tofar ngapi

Inategemea vipimo au ukubwa wa nyumba(dimension),sehemu uwanja ulipo ikiwamo aina ya udongo il ujue msingi utakuaje.Lakin roughly tofali 2200 zinaweza kutosha na ukabak na ziada kidogo...Karibu utupe raman na michoro ili wataalam kadirio waifanyie kaz kwa jibu smart kabisa.
 
Karibun pia kwa tofali za kokoto zenye ubora,ambazo pia uwiano wa cement ni mkubwa na kokoto(aggregates) zenye kiwango cha juu,KARIBUN SANA.
 
Karibun wateja wetu,KWA 1,100 TU KWA KILA TOFAL NAKULETEA MZIGO HADI SITE....Tushirikiane kwa UJENZI BORA.
 
Je ujenzi wako ni site iliyotuama maji au kwenye unyevu nyevu?Tofali zetu HALAAL Company Ltd ndio jibu lako.Karibu ujionee mwenyewe,USAFIRI pia unapatikana huku kwa BEI NAFUU.
 
For a better home,office e.t.c come and build with quality blocks from Halaal Company Ltd.
 
Sie wakazi wa Kibamba unatusaidiaje?

Karibu sana ofisin mkuu AU tuwasiliane kwa simu 0764 469 468,ni MAELEWANO tu,maana tofali zinakwenda had MOROGORO...Kwa kuwa UBORA(Quality) unafatwa popote ndugu.KARIBU SANA.
 
Karibun WATEJA wetu,usafir unapatikana huku huku kwa bei POA kabisa!
 
kwa kweli jina la biashara ni muhimu sana.
Ukizingatia jamii yetu imekuwa so fragile na mambo ya udini, ni vyema jina lenu likabadilika kama mnataka kufanya serious business. kuna baadhi ya wateja mtawakosa tu just because of the brand name.
 
Ni kwel Mr Bon,tumejaribu kuwaelimisha na nimeshapata wateja weng wa dini tofauti ikiwamo Kanisa moja maeneo ya MBEZI....Nashukuru sana kwa ushaur wako mzuri,tutalifanyia kaz,KARIBU SANA.
 
Kulingana na maombi ya wateja wetu,TUNAPOKEA MALIPO KIDOGO KIDOGO had mteja akikamilisha anachukua mzigo wake.NI NJIA BORA PIA KWA KUWA MKUPUO NI NGUMU WAKAT MWINGINE...KARIBUN.
 
Ndugu wateja,ukinunua matofal yaliyotengenezwa na kumwagiwa kwa MAJI YA CHUMVI itakupa HASARA kwan tofali zitapasuka BAADAE,njoo kwetu sisi tunatumia MAJI SAFI YASIYO NA CHUMVI.....KARIBU.
 
kwa kweli jina la biashara ni muhimu sana.
Ukizingatia jamii yetu imekuwa so fragile na mambo ya udini, ni vyema jina lenu likabadilika kama mnataka kufanya serious business. kuna baadhi ya wateja mtawakosa tu just because of the brand name.

mwenyewe lilikuwa linaniumiza sana kichwa
 
Nitafutieni Engine Control Box ya Mark X acheni kushabikia udini. Mzee wa Matofali nimechelewa kidogo tu,....dah dili nzuri
 
mwenyewe lilikuwa linaniumiza sana kichwa

Usiumie kichwa mkuu,Tanzania hatupend udini,mim mmiliki baba yangu ni Roman Catholic na mama ni muislam...KARIBU TUJENGE IMARA.
 
Nitafutieni Engine Control Box ya Mark X acheni kushabikia udini. Mzee wa Matofali nimechelewa kidogo tu,....dah dili nzuri

Karibu sana mkuu,niletee wateja tafadhali.ASANTE.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom