Amazing Quality Cement Blocks (Matofali) at 800/= Tsh. Only..!!

Amazing Quality Cement Blocks (Matofali) at 800/= Tsh. Only..!!

Halal1.jpg


halal-pig.jpg
 
NYUMBA NI HADHINA BORA,jenga NYUMBA imara kwa matofali bora toka kwetu,KARIBU.
 
Jenga kwa KIZAZI chako cha sasa na BAADAE kwa matofal bora toka Halaal Co Ltd.
 
Tunazingatia viwango vya mchanga(hauna organic state) na saizi(texture) ya mchanga wenyewe ili kuongeza UBORA wa bidhaa zetu ikiwamo MATOFAL,PAVERS,PANNELS,POTS n.k.
 
Bidhaa zetu tunatengeneza kwa FOMULA maalum,hivyo kufanya kila kitu kiwe na uwiano sahihi unaotakiwa,KARIBUN SANA.
 
Weekend ni muda mzuri kutembelea site na kujua tofali zipi ni BORA...KARIBUN TEGETA kwa matofal yenye viwango!
 
Pia tuna tofali za inch 6 ambazo zina uwiano mkubwa sana wa cement,zinafaa kabisa kwa ujenzi hata wa ghorofa...Unaruhusiwa kupeleka sample TBS ambapo wanamashine inayopima UIMARA wa tofali,karibun sana!
 
Matofali yetu ni bora kabisa yaliyotengenezwa kwa FOMULA maalum na kuongezwa VIONGEZAMCHANGANYO(Admixtures) ili kuboresha matokeo zaidi,KARIBUN SANA.
 
Kwa kutumia matofal yetu utakua umejenga ujenzi IMARA na kwa kutumia GHARAMA NAFUU PIA.....BUILD WITH US FOR A SUSTAINABLE HOME...!
 
HALAAL Company Ltd at TEGETA Nyaishozi,along side BAGAMOYO Road,DAR ES SALAAM, brings you a very special offer......!
Quality Cement Blocks at only 800/= Tsh,manufactured by using GENUINE LUCKY CEMENT from PAKISTAN,DAWASCO TAPE WATER,QUALITY MASHINES and COMPETENT OPERATORS....ALSO we do have CONCRETE BLOCKS(tofali za kokoto) with a very GOOD CEMENT RATIO and QUALITY AGGREGATES at 1,400 Tsh ONLY......
For a QUALITY BUILDING,build with HALAAL Company Ltd....0764 468 469,,,,

Kuporomoka kwa jengo DAr saruji feki yahusishwa.... Kwa Mujibu wa uchunguzi uliofanywa na tume huru ya wataalamu wa ujenzi kuhusiana na kuporomoka kwa jengo hilo umebaini kuwa hiyo nayo ni moja ya sababu...................."

Uhuru, 5th June 2013 (Gazeti ya Chama)
 
Kuporomoka kwa jengo DAr saruji feki yahusishwa.... Kwa Mujibu wa uchunguzi uliofanywa na tume huru ya wataalamu wa ujenzi kuhusiana na kuporomoka kwa jengo hilo umebaini kuwa hiyo nayo ni moja ya sababu...................."

Uhuru, 5th June 2013 (Gazeti ya Chama)
 
Ni sawa kabisa MNYOO JOGOO,Cement feki lazima iwe moja kati ya vigezo ndio maana sisi tunatumia CEMENT BORA na bidhaa zetu unaweza kupeleka TBS kuhakiki viwango.Pia Contractors wanaenda kutafuta tofali hata zisizo na ubora il mrad wapate percent...KAMA UNAJENGA NENDA SITE MWENYEWE IL UHAKIKI UBORA WA MATOFAL,PANEL n.k tofaut na hapo MAFUND LAZIMA WAKUPIGE UDALALI....KARIBU
 
Ndugu mteja,usiwe na HOFU kuhusu USAFIRI,tunao hapa hapa kwa bei NAFUU...NJOO NA PESA TU UNAPELEKEWA MZIGO HADI SITE KWAKO.
 
Ndugu mteja,epukana na matofali ubuyu ambayo ni duni kwa kujenga na tofali IMARA toka Halaal Company Ltd...0764 468 469.
 
Karibun wateja wetu,tuna MZIGO wa kutosha tofali za inch 5,inch 6,pavers,panels,louvers n.k
 
Je kuna guarantee endapo nikanunua blocks na baadae zikawa na matatizo mfano kupasuka na kuingiza maji?
 
Kwa hakika ni Halaal Company Ltd pekee ndio tunatoa warrant kwenye bidhaa zinazotokana na cement,kwa kuwa tuna uhakika na bidhaa zetu....Na hata ipite miaka 5,product zetu tunauwezo wa kuzitambua hata kama hatujafika site yako wakat unajenga,KARIBU OFISIN KWA MAELEZO ZAID...0764 468 469.
 
Tuna uhakika wa bidhaa zetu kwa kuwa tunatengeneza kwa fomula maalum,ikiwamo kuweka viongezamchanganyo (admixtures) il kuua MABAKI YA OXIDE ZA MAGNESIUM,SILCON nk ambazo husababisha mipasuko baadae!
 
Tofali ni la udongo au ni mchanga na simenti? Na kama ni mchanga na simenti je mfuko mmoja wa kilo hamsini unatoa tofali ngapi? Je umewahi kupima hilo tofali na lina N/mm2 ngapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom