Amazing Quality Cement Blocks (Matofali) at 800/= Tsh. Only..!!

Amazing Quality Cement Blocks (Matofali) at 800/= Tsh. Only..!!

Tofali ni la udongo au ni mchanga na simenti? Na kama ni mchanga na simenti je mfuko mmoja wa kilo hamsini unatoa tofali ngapi? Je umewahi kupima hilo tofali na lina N/mm2 ngapi?

this is a very good question .....

Halaal co. Ltd ..... what is the compressive strength in terms of kilo Newton or N/mm2 .... Tanzania bureau of standards TBS has set around/between 3.8 - 6.0 Kilo newtons ... if not do you refer to BS standards and equate?

What is the cement to water ratio of your blocks ratio? .... and what is the setting time of your blocks water to cement ratio?

Regarding curing techniques, are you doing weather/environment based? or chemically by using curing agents?

do you agree that 5" size blocks is improvizing ... I mean forgery .... it is not a set size to fit construction according to wall bonding types such as flemish or English bond
 
Mkuu asante kwa mchango wako,sisi tunatumia cement na mchanga lain mzur sana wa CHIMBO LA KAGAMBO BAGAMOYO,mfuko mmoja wa cement kwa tofal hiz za sh 800 natoa tofali 30,lakin kuna grades had za tofali 24 kwa mfuko ila bei tofauti.Ratio ya maji kwa cement ni 0.25.1 kwa kuwa maji meng kwenye mchanganyo yanaharibu pia ubora.Tofali kuwa standard au sio inategemea,lakin kwa Tanzania tofal za inch 5 sijui nani aliset hiv,kwa hiyo nikisema niweke international standard hapa kwetu hautauza.Ingawa tunatumia viongeza mchanganyo lakin tuko makin sana pia na utunzaj mazingira,kuhusu compressive strengh pia tunazo za 25 N/mm square)min,na zaid kutegemea mahitaj,KARIBU SANA.
 
Tunafuraha sana kutimiza ODA za wateja wetu ndan ya wakat kadri ya mahitaji.Pia tunafuraha kuendelea kupokea ODA zingine....
 
Je unahitaji kujenga ukuta mgumu,msingi au karo?Karibu upate TOFAL NGUMU SANA INCH 6 ambazo zimekauka vizur baada ya kupata huduma zote muhimu...haupimin tofali kwa kupukuchua kama mahindi bali kwa kudondosha chin na lisipasuke,KARIBUNI.
 
Pia tuna tofali za KOKOTO ambazo ni ngumu sana pia kwa ujenzi wa MAKARO,UKUTA na HATA MSINGI(foundation) kwa wale wanaojenga sehemu zenye maji maji au anaehitaj MSINGI IMARA....FOR A QUALITY HOME BUILD WITH HALAAL BLOCKS...
 
Ndugu mteja,HALAAL Company Ltd inakupunguzia gharama za ujenzi kwa kukuuzia bidhaa zinazotokana na cement kwa BEI NAFUU kuliko popote Dar.
 
Kwa kuwa TUNAJALI MAHITAJI ya wateja wetu,TUNAPOKEA ODA ZA WATEJA,PIA MTU ANAWEZA KUFANYIWA KAZ YAKE KAMA ANATAKA ANUNUE KILA KITU,SISI AKATULIPA ADA YA UZALISHAJI(production fees)...
 
Ndio Tusker,HALAAL kwa kuwa nakuuzia kwa THAMAN HALISI YA MALIPO YAKO(VALUE FOR MONEY),yan sikuibii cement and kukuchakachulia kwenye tofal zangu,KARIBU TUKUUZIE TOFALI SAAAFI KWA BEI NZURI.
 
Karibun wateja wetu,tunaendelea kuzalisha bidhaa zetu kwa wingi na kuzingatia ubora!COME ONE,COME ALL...!
 
Je una mpango wa kuanza UJENZI?Je unahitaji kuwa na nyumba itakayodumu kwa miaka mingi bila mipasuko?Je unahitaj kujenga kwa gharama nafuu?HALAAL Company Ltd ndio jibu lako...0764 468 469 karibuni!
 
WEEKEND ndio muda mzuri kutembelea sites kwa ajil ya MANUNUZI au TATHMINI,karibun nyote mpate kuona MATOFAL,PANELS,LOUVERS,PAVERS...vyenye UBORA wa hali ya juu lakin pia kwa BEI WEZEKA....Karibun sana.
 
Tunashukuru sana kwa MUITIKO wa wateja wetu,karibun wengine pia,UKICHUKUA TOFAL KUANZIA 2,000 unapata PUNGUZO HAD SH 780 kwa tofal moja,KARIBUN.
 
Karibun wateja wetu mzigo upo wa kutosha,kwa kuwa tunaweza kukidhi oda zote kwa wakat na kuzalisha mali site ambayo inasubir wateja,KARIBUN SANA.
 
Ndugu mteja.kama ujenz wako ni sehem yenye maji maji mengi,suluhisho lako ni matofali yetu,kwa kuwa tunaongeza vionjo vinavyopunguza athari zinazotokana na maji yaliyozidi,KARIBUNI SANA.
 
Karibun kwa bidhaa bora,BEI NZURI na TUTAKUFANYIA DISCOUNT KWENYE USAFIRI....0764 468 469.
 
Matofal yetu ni magumu na bora lakin pia ni bei rahisi kwa sh 800/= tu,karibu kwa ujenzi IMARA.....0764 468 469.
 
Karibu ununue tofali ambalo utajaribu kwa KUTUPA CHINI na sio kupukuchua,karibuni sana!
 
Karibun kwa bidhaa bora,BEI NZURI na TUTAKUFANYIA DISCOUNT KWENYE USAFIRI....0764 468 469.
Nikihitaji tofari 2200 toka site kwenu mpaka Kigamboni (Kibada) itanigharimu kiasi gani pamoja na usafiri?
 
Nikihitaji tofari 2200 toka site kwenu mpaka Kigamboni (Kibada) itanigharimu kiasi gani pamoja na usafiri?
Mkuu asante kwa interest yako,jumla pamoja na USAFIRI itakua 2,640,000/=...kwa kuwa TUNAJALI WATEJA WETU,TUTAKUPUNGUZIA LAKI 1,itakuwa 2,540,000/=........0764 468 469 KARIBU SANA MKUU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom