donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
nzuri ila hiyo ya farasi noma
ila unaamini kweli wingu imekaa vile?nadhani photoshop bhanahiyo iko poa sana..
ila unaamini kweli wingu imekaa vile?nadhani photoshop bhana
but sometimes ukiangalia mawingu unaweza kuona maumbo mbalimbali but hilo la farasi limezidikuna siku nilikuwaga naona Picha kama hizo nyingi,ila sijui kama ni Photoshop
but sometimes ukiangalia mawingu unaweza kuona maumbo mbalimbali but hilo la farasi limezidi
teh teh tehhahaa may be its among the amazing Clouds formation...kuna mambo ya ajabu sana siku hizi
kuna siku nilikuwaga naona Picha kama hizo nyingi,ila sijui kama ni Photoshop
teh teh teh
wii hebu tufanye utafiti, kuanzia kesho tuwe tunatupia macho angani