Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,404
- 29,370
Ndiyooo!
Siku hizi angalau wasanii wetu wanaimba vitu vya kuburudisha sio zile kila siku kulialia mapenzi.
Ila hizi style za uchezaji kwetu watu wazima zinaweza kukutia wazimu, juzi nimecheza bafuni nimeyarudi sana.[emoji3][emoji3]
Maisha ni haya haya bhana.