- Thread starter
- #21
Basi tuma hao waandamanaji ila hakikisha hawafiki tena kwenye biashara zetu,safari hii tutawang'oa kende.Hatutakubali tena kumdi la watu kudhuia shughuli za wengine kwa maslahi yao ya kisiasa.Wasiotaka amani ni hao walioshika mpini. Kukiwa na haki hakuna atakayewaza kupambana wala kuandamana. Mbona nchi za jirani nyingi tu zinakuwa na democratic elections, civil liberties and all kinds of human rights sometimes vyama vinavytwala vinashindwa kwa haki kabisa na maisha yanaendelea, kung'olewa kwa CCM si tu kwamba itakuwa furaha ya wengi lakini pia ndipo watu wataamini kuwa sanduku la kura lina maana(democracy at it's best) kama tunavyojionea baadhi ya nchi.
Kama English terms zinakupa shida kueleweka kwako sidhani kama hilo ni tatizo langu.
Binafsi nitaendelea kuwa balozi mtiifu wa Amani maana najua madhara yaliyotokana na maandamano Yale kwenye KAZI zangu.