Amani na utengamano wa nchi yetu. Ushauri kwa TEC

Dini zina nafasi kubwa sana kwenye mtengamano na amani ya lo lote lile. Ndiyo maana kwa kuliona hili, baadhi ya nchi serikali zake zinatawaliwa na dini moja, hususanj huko Uingereza nk Anglican High Church..

Nchi yetu ina dini kuu mbili, waislamu na wakiristo. Ingawa katiba ya nchi yetu inasema serikali haina dini lakini ukweli unabaki pale pale kwamba dini hizi mbili zina influence (nguvu) kubwa sana kwenye utengamano na amani ya taifa letu.

Ndiyo maana hata kama haiko kwenye maandishi ya kikatiba, mtiririko wa utamaduni wetu ukuu wa nchi umekuwa wa kupokezana kati ya hizi dini kuu mbili. Alianza mkiristo (Nyerere), akafuata muislam (Mwinyi), akaja mkiristo (Mkapa), akafuata muislam (Jakaya), halafu akaja mkiristo (Magufuli) na sasa tuna muislamu (Samia). Na bila shaka awamu ya saba atakuwa mkiristo.

Mtiririko huo haukuja kwa bahati mbaya (coincidence). Ni utamaduni wetu wa kuheshimu nguvu ya dini zetu hizi kwenye ukuu wa nchi na ndiyo uliochangia kwa kiasi kikubwa kwa amani tunayojivunia ya taifa letu. Na mara zote isipokuwa awamu hii dini hizi zimekuwa na utiifu mkubwa kwa mkuu wa nchi na serikali yake. Dini hizi zimekuwa zikituaminisha kuwa mkuu wa nchi ni chaguo la Mwenyezi Mungu na kwa wakristo 'ya Kaisari mpe Kaisari, ya Mungu mpe Mungu'.

Inasikitisha kuona kwamba katika awamu hii ya muislamu, TEC ambayo mtendaji wake mkuu ni ndugu au swaiba mkuu wa kiongozi wa chama kimoja cha siasa anayeutafuta ukuu wa nchi kwa njia ya yote ile ikiwemo ya vurugu, limekuwa likimsakama na kumdharirisha sana mkuu wa nchi na serikali yake. Hotuba wa raisi wa TEC ya Pasaka inaonesha wazi matakwa ya kanisa hili la kuingilia kesi iliyoko mahakamani ya mtuhumiwa wa uvunjifu wa amanj ya nchi yetu ambayo TEC wanaita ni kesi ya watuhumiwa wa kudai haki.

Hotuba/ waraka wa Pasaka ni tofauti sana ule wa Eid El Fitri wa waislam uliojitikita kwenye kudumisha amani. TEC mnakotaka kutupeleka si pa zuri. Huyo katibu mkuu wenu, Dr Kitima, hana tofauti na aliyekuwa kabibu mkuu wenu, Dr Slaa, Mtimueni kama mlivyofanya kwa Slaa akaungane naye kwenye siasa na kuoa.

Kama vile hujui maana ya Reconciliation-mojawapo ya zile R za chama chake kinachoringia. Kutokana na kutotekeleza falsafa yake mwnyw ndo xaxa tunayaona haya- watu kupotezwa, kutekwa, kufunguliwa mashitaka ya Ugadi, uhaini na hata kuuawa. Aliyeuawa majuzi na kuzikwa kule Tanga, alikua muislam mwenzio na hiyo ni kutokana na kubuni falsafa ukashindwa kuiximamia. Inakuwaje taabu kuridhia "tume huru" ambayo itakubalika na waTz wote! Ingependza zaidi ungeachana na haya mambo ya udini ambayo hayana maana. Xaxa hivi ni mambo ya vyama vingi - kama ccm wana ratiba za kidini kuchaguana, waTz ni zaidi ya chama, waachane na hayo. Asasi za kidini kama BKWT, TEC nk. zihuxishwe ktk kutoa mapendkezo tu. Reconciliation inahitaji wataalam, sio siasa zetu hizi
 
Dini zina nafasi kubwa sana kwenye mtengamano na amani ya lo lote lile. Ndiyo maana kwa kuliona hili, baadhi ya nchi serikali zake zinatawaliwa na dini moja, hususanj huko Uingereza nk Anglican High Church..

Nchi yetu ina dini kuu mbili, waislamu na wakiristo. Ingawa katiba ya nchi yetu inasema serikali haina dini lakini ukweli unabaki pale pale kwamba dini hizi mbili zina influence (nguvu) kubwa sana kwenye utengamano na amani ya taifa letu.

Ndiyo maana hata kama haiko kwenye maandishi ya kikatiba, mtiririko wa utamaduni wetu ukuu wa nchi umekuwa wa kupokezana kati ya hizi dini kuu mbili. Alianza mkiristo (Nyerere), akafuata muislam (Mwinyi), akaja mkiristo (Mkapa), akafuata muislam (Jakaya), halafu akaja mkiristo (Magufuli) na sasa tuna muislamu (Samia). Na bila shaka awamu ya saba atakuwa mkiristo.

Mtiririko huo haukuja kwa bahati mbaya (coincidence). Ni utamaduni wetu wa kuheshimu nguvu ya dini zetu hizi kwenye ukuu wa nchi na ndiyo uliochangia kwa kiasi kikubwa kwa amani tunayojivunia ya taifa letu. Na mara zote isipokuwa awamu hii dini hizi zimekuwa na utiifu mkubwa kwa mkuu wa nchi na serikali yake. Dini hizi zimekuwa zikituaminisha kuwa mkuu wa nchi ni chaguo la Mwenyezi Mungu na kwa wakristo 'ya Kaisari mpe Kaisari, ya Mungu mpe Mungu'.

Inasikitisha kuona kwamba katika awamu hii ya muislamu, TEC ambayo mtendaji wake mkuu ni ndugu au swaiba mkuu wa kiongozi wa chama kimoja cha siasa anayeutafuta ukuu wa nchi kwa njia ya yote ile ikiwemo ya vurugu, limekuwa likimsakama na kumdharirisha sana mkuu wa nchi na serikali yake. Hotuba wa raisi wa TEC ya Pasaka inaonesha wazi matakwa ya kanisa hili la kuingilia kesi iliyoko mahakamani ya mtuhumiwa wa uvunjifu wa amanj ya nchi yetu ambayo TEC wanaita ni kesi ya watuhumiwa wa kudai haki.

Hotuba/ waraka wa Pasaka ni tofauti sana ule wa Eid El Fitri wa waislam uliojitikita kwenye kudumisha amani. TEC mnakotaka kutupeleka si pa zuri. Huyo katibu mkuu wenu, Dr Kitima, hana tofauti na aliyekuwa kabibu mkuu wenu, Dr Slaa, Mtimueni kama mlivyofanya kwa Slaa akaungane naye kwenye siasa na kuoa.

Umepungukiwa akili na maarifa.

TEC imekuwa ikitoa nyaraka za kukemea uovu na ugandamizaji wa haki za watu, wakati wote, bila ya kutegemea mtawala ni nani, wa kabila gani au wa dini gani. Kuhusisha tamko la kutetea jamii inayosimama kwenye misingi ya haki na dini, ni kukosa akili, maarifa na uadilifu wa nafsi. Utawala wa Magufuli ulionywa kupitia waraka wa TEC, na utawala wa Samia umeonywa; na hata ukija utawala wa dini yoyote nyingine, kukiwepo na udhulumaji wa haki, TEC wataonya, kwani ndiyo utume wenyewe: kukemea maovu yote.

Mtu mwenye akili timamu anajua kwa uhakika kuwa hakikisho la mani ya kweli na ya kudumu, hutegemea haki. Wanaohubiri dini bila kukemea uporaji wa haki, ni wanafiki na ni watumishi wa ibilisi shetani.
 
TEC hutoa walaka pale panaponekana kuna jambo litakalosababisha uvunjifu wa amani.

Huwa wako wazi na hawaangalii nani aliyeko madarakani. Hata kipindi cha JPM walifanya vivyo hivyo. Labda kama haya mambo umeanza kuyaona leo.

Amani inapotoweka kutokana na madhila yatokanayo na siasa. Serikali hutegemea hizi dini kuwasihi waumini kutoka kwenye nyumba zao za ibada watulie.
Pengine TEC wameona athari itayokuja kama Wanachadema watareact.

Mimi naamini TEC wanaona mbali kuliko wewe mtoa Mada.
 
Dini zina nafasi kubwa sana kwenye mtengamano na amani ya lo lote lile. Ndiyo maana kwa kuliona hili, baadhi ya nchi serikali zake zinatawaliwa na dini moja, hususanj huko Uingereza nk Anglican High Church..

Nchi yetu ina dini kuu mbili, waislamu na wakiristo. Ingawa katiba ya nchi yetu inasema serikali haina dini lakini ukweli unabaki pale pale kwamba dini hizi mbili zina influence (nguvu) kubwa sana kwenye utengamano na amani ya taifa letu.

Ndiyo maana hata kama haiko kwenye maandishi ya kikatiba, mtiririko wa utamaduni wetu ukuu wa nchi umekuwa wa kupokezana kati ya hizi dini kuu mbili. Alianza mkiristo (Nyerere), akafuata muislam (Mwinyi), akaja mkiristo (Mkapa), akafuata muislam (Jakaya), halafu akaja mkiristo (Magufuli) na sasa tuna muislamu (Samia). Na bila shaka awamu ya saba atakuwa mkiristo.

Mtiririko huo haukuja kwa bahati mbaya (coincidence). Ni utamaduni wetu wa kuheshimu nguvu ya dini zetu hizi kwenye ukuu wa nchi na ndiyo uliochangia kwa kiasi kikubwa kwa amani tunayojivunia ya taifa letu. Na mara zote isipokuwa awamu hii dini hizi zimekuwa na utiifu mkubwa kwa mkuu wa nchi na serikali yake. Dini hizi zimekuwa zikituaminisha kuwa mkuu wa nchi ni chaguo la Mwenyezi Mungu na kwa wakristo 'ya Kaisari mpe Kaisari, ya Mungu mpe Mungu'.

Inasikitisha kuona kwamba katika awamu hii ya muislamu, TEC ambayo mtendaji wake mkuu ni ndugu au swaiba mkuu wa kiongozi wa chama kimoja cha siasa anayeutafuta ukuu wa nchi kwa njia ya yote ile ikiwemo ya vurugu, limekuwa likimsakama na kumdharirisha sana mkuu wa nchi na serikali yake. Hotuba wa raisi wa TEC ya Pasaka inaonesha wazi matakwa ya kanisa hili la kuingilia kesi iliyoko mahakamani ya mtuhumiwa wa uvunjifu wa amanj ya nchi yetu ambayo TEC wanaita ni kesi ya watuhumiwa wa kudai haki.

Hotuba/ waraka wa Pasaka ni tofauti sana ule wa Eid El Fitri wa waislam uliojitikita kwenye kudumisha amani. TEC mnakotaka kutupeleka si pa zuri. Huyo katibu mkuu wenu, Dr Kitima, hana tofauti na aliyekuwa kabibu mkuu wenu, Dr Slaa, Mtimueni kama mlivyofanya kwa Slaa akaungane naye kwenye siasa na kuoa.
Ushauri unafaa uelekezwe kwa ccm na sio kwa wanao washauri ccm ama?
 
Ficha upumbavu wako, hilo kanisa lako halikuhusika na mambo ya uhuru, tena kanisa ndiyo haikutaka nchi kupata uhuru kipindi hicho mapdre na maaskofu wengi walikuwa wazungu. Wakati wa kutafuta uhuru Nyerere ht hakuwa na nguvu usomi na uwezo wake kiuongozi ndio ulimbeba. Wazee wengi waliohusika kudai uhuru walikuwa waislam, leo unakuja kupotosha eti kanisa katoliki? Acha uwongo bwanamdogo.

Wewe ni mpungukiwa wa maarifa na uelewa. Umejaa ujinga, halafu unaamini kuwa una maarifa.

Chukua hili dogo, kwa akili yako ndogo unaweza kulishika:

Mwalimu Nyerere alipoambiwa achague kuendelea na uwalimu au siasa, alienda kwa mapadre kuomba ushauri, akiwa na hofu familia yake itakosa huduma. Kanisa lilimshauri aendelee kupigania uhuru, na kanisa lingegharamia huduma ya familia yake. Mama Maria Nyerere na watoto wake walipelekwa Parokia ya Tosamaganga mkoani Iringa, ambako walipewa huduma zote na kanisa.

Ticket ya ndege ya Mwalimu Nyerere kwenda UN ilikatwa na Kanisa Katoliki, huku Mzee Mbowe, Rupia na Sykes wakichangia gharama nyingine za safari.

Wimbo wa Taifa wa Mungu ibariki Tanzania ulitungwa na padre wa Kanisa Katoliki parokia ya Tosamaganga. Kimsingi ni sala iliyotafutiwa tune ya wimbo.

Uhuru wa Tanganyika ilikuwa utangazwe mwezi wa September 1961, lakini kwa vile Mwalimu aliomba Taifa liwe chini ya maombezi ya Bikira Maria, Kanisa lilishauri basi uhuru utangazwe tarehe 8 December 1961 ambayo ni Sikukuu ya Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili. Hivyo uhuru wa Tanganyika ukapatikana usiku wa tarehe 8 kuamkia 9 December 1961.

Hiyo ni kudhihirisha Kanisa Katoliki liliunga mkono na kujihusisha sana na harakati za uhuru wa Tanganyika.
 
Pope nae amekufa.Alidhulumu?Au alinyima haki au ni natural process ya viumbe wote kwamba muda ukifika unakufa.Asije akawa aligombana na Nabii feki Lema ?Kwani huyo ndio anatabiri vifo.
 
Dini zina nafasi kubwa sana kwenye mtengamano na amani ya lo lote lile. Ndiyo maana kwa kuliona hili, baadhi ya nchi serikali zake zinatawaliwa na dini moja, hususanj huko Uingereza nk Anglican High Church..

Nchi yetu ina dini kuu mbili, waislamu na wakiristo. Ingawa katiba ya nchi yetu inasema serikali haina dini lakini ukweli unabaki pale pale kwamba dini hizi mbili zina influence (nguvu) kubwa sana kwenye utengamano na amani ya taifa letu.

Ndiyo maana hata kama haiko kwenye maandishi ya kikatiba, mtiririko wa utamaduni wetu ukuu wa nchi umekuwa wa kupokezana kati ya hizi dini kuu mbili. Alianza mkiristo (Nyerere), akafuata muislam (Mwinyi), akaja mkiristo (Mkapa), akafuata muislam (Jakaya), halafu akaja mkiristo (Magufuli) na sasa tuna muislamu (Samia). Na bila shaka awamu ya saba atakuwa mkiristo.

Mtiririko huo haukuja kwa bahati mbaya (coincidence). Ni utamaduni wetu wa kuheshimu nguvu ya dini zetu hizi kwenye ukuu wa nchi na ndiyo uliochangia kwa kiasi kikubwa kwa amani tunayojivunia ya taifa letu. Na mara zote isipokuwa awamu hii dini hizi zimekuwa na utiifu mkubwa kwa mkuu wa nchi na serikali yake. Dini hizi zimekuwa zikituaminisha kuwa mkuu wa nchi ni chaguo la Mwenyezi Mungu na kwa wakristo 'ya Kaisari mpe Kaisari, ya Mungu mpe Mungu'.

Inasikitisha kuona kwamba katika awamu hii ya muislamu, TEC ambayo mtendaji wake mkuu ni ndugu au swaiba mkuu wa kiongozi wa chama kimoja cha siasa anayeutafuta ukuu wa nchi kwa njia ya yote ile ikiwemo ya vurugu, limekuwa likimsakama na kumdharirisha sana mkuu wa nchi na serikali yake. Hotuba wa raisi wa TEC ya Pasaka inaonesha wazi matakwa ya kanisa hili la kuingilia kesi iliyoko mahakamani ya mtuhumiwa wa uvunjifu wa amanj ya nchi yetu ambayo TEC wanaita ni kesi ya watuhumiwa wa kudai haki.

Hotuba/ waraka wa Pasaka ni tofauti sana ule wa Eid El Fitri wa waislam uliojitikita kwenye kudumisha amani. TEC mnakotaka kutupeleka si pa zuri. Huyo katibu mkuu wenu, Dr Kitima, hana tofauti na aliyekuwa kabibu mkuu wenu, Dr Slaa, Mtimueni kama mlivyofanya kwa Slaa akaungane naye kwenye siasa na kuoa.
Kama mliamini kanisa litakalia kimya uchafu wa kwenye chaguzi zetu kwa kificho cha kiongozi ni muisilamu, basi mmeukalia. Hakuna kanisa kufumbia macho uvunjwaji wa haki hapa nchini kwa kigezo kiongozi ni muisilamu. Subirini siku kiongozi akiwa mkristo na akaanza kuvunja haki waisilamu mumkee.
 
Wewe ni mpumbavu kama mlivyojaa waoumbavuu huko CCM. TEC mbona walimsema Magufuli? Aliyekuwa Mkristo na Mkatoliki mwenzao? Walivyomsema Maguculu ulikuwa wapi kuongea haya punguani wewe? Au ukikuwa hujazaliwa?

Hizo propaganda zenu mfu na hao wajinga wenzenu ziishie huko huko!
View attachment 3310709
Inaonekana wapiga propaganda ya udini hawana kumbukumbu ya kutosha, ndio maana wanacheza kete ya udini halafu wanakutana na facts wanapotea. Waisilamu wa kweli jitokezeni, wapiga propaganda wa ccm wanataka kutumia dini yenu kufhnika uchafu wa ccm.
 
Dini zina nafasi kubwa sana kwenye mtengamano na amani ya lo lote lile. Ndiyo maana kwa kuliona hili, baadhi ya nchi serikali zake zinatawaliwa na dini moja, hususanj huko Uingereza nk Anglican High Church..

Nchi yetu ina dini kuu mbili, waislamu na wakiristo. Ingawa katiba ya nchi yetu inasema serikali haina dini lakini ukweli unabaki pale pale kwamba dini hizi mbili zina influence (nguvu) kubwa sana kwenye utengamano na amani ya taifa letu.

Ndiyo maana hata kama haiko kwenye maandishi ya kikatiba, mtiririko wa utamaduni wetu ukuu wa nchi umekuwa wa kupokezana kati ya hizi dini kuu mbili. Alianza mkiristo (Nyerere), akafuata muislam (Mwinyi), akaja mkiristo (Mkapa), akafuata muislam (Jakaya), halafu akaja mkiristo (Magufuli) na sasa tuna muislamu (Samia). Na bila shaka awamu ya saba atakuwa mkiristo.

Mtiririko huo haukuja kwa bahati mbaya (coincidence). Ni utamaduni wetu wa kuheshimu nguvu ya dini zetu hizi kwenye ukuu wa nchi na ndiyo uliochangia kwa kiasi kikubwa kwa amani tunayojivunia ya taifa letu. Na mara zote isipokuwa awamu hii dini hizi zimekuwa na utiifu mkubwa kwa mkuu wa nchi na serikali yake. Dini hizi zimekuwa zikituaminisha kuwa mkuu wa nchi ni chaguo la Mwenyezi Mungu na kwa wakristo 'ya Kaisari mpe Kaisari, ya Mungu mpe Mungu'.

Inasikitisha kuona kwamba katika awamu hii ya muislamu, TEC ambayo mtendaji wake mkuu ni ndugu au swaiba mkuu wa kiongozi wa chama kimoja cha siasa anayeutafuta ukuu wa nchi kwa njia ya yote ile ikiwemo ya vurugu, limekuwa likimsakama na kumdharirisha sana mkuu wa nchi na serikali yake. Hotuba wa raisi wa TEC ya Pasaka inaonesha wazi matakwa ya kanisa hili la kuingilia kesi iliyoko mahakamani ya mtuhumiwa wa uvunjifu wa amanj ya nchi yetu ambayo TEC wanaita ni kesi ya watuhumiwa wa kudai haki.

Hotuba/ waraka wa Pasaka ni tofauti sana ule wa Eid El Fitri wa waislam uliojitikita kwenye kudumisha amani. TEC mnakotaka kutupeleka si pa zuri. Huyo katibu mkuu wenu, Dr Kitima, hana tofauti na aliyekuwa kabibu mkuu wenu, Dr Slaa, Mtimueni kama mlivyofanya kwa Slaa akaungane naye kwenye siasa na kuoa.
Huo utaratibu wa kupokezana muislam na mkristo ni utaratibu mliojiwekea CCM. Kama uchaguzi ungekuwa huru na haki kusingekuwa na mpangilio wowote wa hizi dini mbili kushika nafasi ya urais. Tungeweza kupata hata rais asiye na dini ila ni muadilifu
 
Pope nae amekufa.Alidhulumu?Au alinyima haki au ni natural process ya viumbe wote kwamba muda ukifika unakufa.Asije akawa aligombana na Nabii feki Lema ?Kwani huyo ndio anatabiri vifo.
Naona unajitungia maswali na kujijibu mwenyewe😂
 
Wewe mjinga huwa mna fikra kwamba anayekufa aliwapinga.Ndio nikauliza huyu nae alipingana na nani?Kwani nyie ndio mabingwa wa kushangilia vifo.
 
Hiyo dhana yako ilikuwa popote kwenye huu mjadala? Huyo Pope amekufa akiwa na miaka mingapi?
 
Kwanza ,Nyerere hakudai uhuru kanisa katolic nchini ndio lilithibitisha kwamba Tanganyika inaweza kujitawala baadae ndo Nyerere akatengenezewa njia kanisa halikudai uhuru WA Tanganyika ili yawe hayatunayoyaona

Dr slaa hajawahi fukuzwa labda hujui chochote
Eti tusichanganye dini na siasa ChoiceVariable
 
Attachments

  • VID-20250421-WA0002.mp4
    9.8 MB
Mh. Freeman Mbowe alichelea chelea mwana kulia matokeo yake alikuja kulia mwenyewe na hadi leo anaendelea kulia. Kwa kipindi kirefu Tundu Lissu alionesha wazi ukosefu wa utiifu wa hali ya juu kwa Freeman Mbowe hadi kufikia kumporomoshea matusi na kukinukisha. Mbowe akachelea kumchukulia hatua kali za kinidhamu, matokeo yake alilia yeye na hadi leo analia.

Mbinu hizo chafu sasa kazielekeza kwa mkuu wa nchi na serikali yake. Na haya kayasema wazi wazi hadharani mbele ya kamera, si mara moja au mara mbili bali kila mra. Sasa hawa TEC wanataka huyu mkuu wa nchi na serikali yake aendelee kuchelea chelea ili kitokee kama kilichomtokea Bw. Mbowe? Yaani kweli hata ungalikuwa wewe ungalimchelea kweli mtu mwenye nia (intent) na matendo (overt actions) yenye kusudi (attempting) ya kukinukisha achukue nchi?

Sikiliza maungamo yake ya uhaini: Sasa kwa nini TEC inataka kuizuia mahakama kutafisiri kisheria haya anayoyasema na kuyatenda huyu mtu?

View: https://youtu.be/Pgu4VfqBGKs?si=rWJ7yaVNkAwXL7OC
 
Nawapenda maaskofu wa TEC hadi naumwa,niombeeni nipate ruhusu ya kubusu kanzu zao zinazonukia haki
 
Kwani Samia akikubali kufanya reforms atapungukiwa nini?

Iwe TEC , Iwe BAKWATA, liwe baraza la wasio na dini wakisimama kupigani reforms nitawaunga mkono maana itakuwa ni kama platform ya kufikisha ujumbe wa haki.

Nauliza tena kwani kuna ugumu gani kufanya reforms na hofu ni ya nini?

Kwenye hizo anazoita 4R kuna moja ni reforms anachoogopa ni nini?
 
Ficha upumbavu wako, hilo kanisa lako halikuhusika na mambo ya uhuru, tena kanisa ndiyo haikutaka nchi kupata uhuru kipindi hicho mapdre na maaskofu wengi walikuwa wazungu. Wakati wa kutafuta uhuru Nyerere ht hakuwa na nguvu usomi na uwezo wake kiuongozi ndio ulimbeba. Wazee wengi waliohusika kudai uhuru walikuwa waislam, leo unakuja kupotosha eti kanisa katoliki? Acha uwongo bwanamdogo.
sanga,

kwanini huamini Kila naposema saizi yangu Mimi ni tuntemeke sanga sio sanga wewe
 
Dini zina nafasi kubwa sana kwenye mtengamano na amani ya lo lote lile. Ndiyo maana kwa kuliona hili, baadhi ya nchi serikali zake zinatawaliwa na dini moja, hususanj huko Uingereza nk Anglican High Church..

Nchi yetu ina dini kuu mbili, waislamu na wakiristo. Ingawa katiba ya nchi yetu inasema serikali haina dini lakini ukweli unabaki pale pale kwamba dini hizi mbili zina influence (nguvu) kubwa sana kwenye utengamano na amani ya taifa letu.

Ndiyo maana hata kama haiko kwenye maandishi ya kikatiba, mtiririko wa utamaduni wetu ukuu wa nchi umekuwa wa kupokezana kati ya hizi dini kuu mbili. Alianza mkiristo (Nyerere), akafuata muislam (Mwinyi), akaja mkiristo (Mkapa), akafuata muislam (Jakaya), halafu akaja mkiristo (Magufuli) na sasa tuna muislamu (Samia). Na bila shaka awamu ya saba atakuwa mkiristo.

Mtiririko huo haukuja kwa bahati mbaya (coincidence). Ni utamaduni wetu wa kuheshimu nguvu ya dini zetu hizi kwenye ukuu wa nchi na ndiyo uliochangia kwa kiasi kikubwa kwa amani tunayojivunia ya taifa letu. Na mara zote isipokuwa awamu hii dini hizi zimekuwa na utiifu mkubwa kwa mkuu wa nchi na serikali yake. Dini hizi zimekuwa zikituaminisha kuwa mkuu wa nchi ni chaguo la Mwenyezi Mungu na kwa wakristo 'ya Kaisari mpe Kaisari, ya Mungu mpe Mungu'.

Inasikitisha kuona kwamba katika awamu hii ya muislamu, TEC ambayo mtendaji wake mkuu ni ndugu au swaiba mkuu wa kiongozi wa chama kimoja cha siasa anayeutafuta ukuu wa nchi kwa njia ya yote ile ikiwemo ya vurugu, limekuwa likimsakama na kumdharirisha sana mkuu wa nchi na serikali yake. Hotuba wa raisi wa TEC ya Pasaka inaonesha wazi matakwa ya kanisa hili la kuingilia kesi iliyoko mahakamani ya mtuhumiwa wa uvunjifu wa amanj ya nchi yetu ambayo TEC wanaita ni kesi ya watuhumiwa wa kudai haki.

Hotuba/ waraka wa Pasaka ni tofauti sana ule wa Eid El Fitri wa waislam uliojitikita kwenye kudumisha amani. TEC mnakotaka kutupeleka si pa zuri. Huyo katibu mkuu wenu, Dr Kitima, hana tofauti na aliyekuwa kabibu mkuu wenu, Dr Slaa, Mtimueni kama mlivyofanya kwa Slaa akaungane naye kwenye siasa na kuoa.
Mnatakaga kuwatumia sana wasio na akili. Kwanini ampendi kuona watu wanatumia akili zao. Wewe ushakabidhi akili kwa ccm tulia wakutumie.
 
Back
Top Bottom