Amani Karume: Nilishangaa wana-CCM wenzangu wanahofia wapinzani kushinda, Uchaguzi 2015 Zanzibar nilisikitika, niliwauliza hawa wenzetu si Watanzania?

Unasubiri ujipenyeze ukalale Kule juu Michenzani?
Hapana mkuu....mimi ni mtalii wa ndani....nimekuja kuchangia "visenti vyangu" kwa ndugu zangu Wazanzibari.....nimefikia Uroa mkuu....huu usiku ni uzururaji wa hali ya juu 🤣🤣🤣

Asubuhi itanikutia humuhumu mitaani na nitakwenda kupiga soga pale KISONGO.....

Akhi uko wapi tukapate "gambe" hapo BOT?!!
 

Mimi niko michenzani jumba namba 7 , nawasubiri wenzako mnaukaje kula huku juu, tuwashughulikie, labda ni limbukeni mnafikiri mko 5 star hotel
 
Mimi niko michenzani jumba namba 7 , nawasubiri wenzako mnaukaje kula huku juu, tuwashughulikie, labda ni limbukeni mnafikiri mko 5 star hotel
Mimi na akina nani mkuu?

Kutushughulikia nini ?!!

Kwani katika yale makazi ya raia hapo Michenzani kuna lipi la ajabu linaloendelea ?!!!
 
M
Hata Shein alishakubali kuachia nchi, tatizo ni yule aliyezikwa Lupaso.
Mfumo wa kuwa
Mkiti taiga at the sa
Tatizo ni kofia kwenye vyama.
1.Amiri jeshi mkuu,
2.Rais,
3.M/kiti wa chama.

Hebu fikiria mpo kwenye kikao unamkosoaje/unamshauri vipi huyo mwenye maguvu hapo juu.
Naamekuambia;
Hashauriki wala Rais huwa hakosei

Mzee Karuma pamoja na yote yaliyotokea akiwa Rais lakini angalau ameonyesha kuwa alikuwa anakubali/kutokukubaliana.
Tusimlaumu sana bali tuchukue hoja zake zitumike kama ushahidi wa dhuluma.
Ushahidi wa pili ni Jecha,Nae ipo siku atafunguka ili mradi aandaliwe JECHA DAY.
Ushahidi wa tatu ni kujivua ubunge uteule wa Pemba miezi juzi hapa.

NB! Tumuombe radhi Lowasa kwa kumtukana sana kuwa ikulu haipokei wagonjwa
 
Hahahaaaa wanasiasa sio mchezo
Anatoa kauli ss hv akijua fika kua haina tija yoyote kwa ss
 

Wakishamaliza madaraka ndio wanaanza story. Ina maana wakati wake hakuwahi kuwa na changamoto za uchaguzi?
 
Mnaofanya biashara Za ajabu ajabu usiku
Duuuh... 😳😳

Mkuu kilichoujaza moyo wako ndicho unachokinena....

Mimi mgeni tu....mgeni tu Zenji.....few days then nageuka.....

Mkuu wangu kuna msemo kuntu unasema hivi...asiyejiheshimu kamwe hawezi kumheshimu mwingine......

Siempre JMT
 

Huo msemo wako ungaliwajuilisha hawa ndugu zako wanaotufanyia hizi biashara Za usiku wa manane
 
Huo msemo wako ungaliwajuilisha hawa ndugu zako wanaotufanyia hizi biashara Za usiku wa manane
Ndugu zangu "watanganyika"?!!!

Naongea na XENOPHOBIC?!!

Wewe ni miongoni mwa kundi la watu wenye nafsi za kibaguzi ,kujikweza kusiko uhalisia?!!!
 
Haya maneno huwa wanayasema baada ya kustaafu, siwaamini, yale yale ya Mkapa kitaka Katiba Mpya kwenye kitabu chake baada ya kustaafu.

Hata Karume binafsi asingekubali kushindwa na Seif na angetumia njia yoyote kuhakikisha anashinda.
Na hasa wanapokaribia kufa
 
Kwa hiyo ni mnafiki wa kiwango cha uprofesa.
 
Ndugu zangu "watanganyika"?!!!

Naongea na XENOPHOBIC?!!

Wewe ni miongoni mwa kundi la watu wenye nafsi za kibaguzi ,kujikweza kusiko uhalisia?!!!
Hakuna watu wabaguzi kuliko waafrika weusi. Tunawaona wanayoyafanya hapa Zanzibar Na huko Tanganyika Tunaona wanayofanyiwa Chadema
 
Rais alikuwa Shein na ndio alikuwa na mamlaka. Wastaafu hawana nguvu ya kuingilia utawala mwingine
Wanadai Shein alishakubali matokeo na kutaka kumuachia Seif. Weeee JK alihairisha hadi safari na kukimbia Zenji yeye na mkapa na kumkemea Shein aache upuuzi kwao eti ilikuwa upuuz
 
Huo msemo wako ungaliwajuilisha hawa ndugu zako wanaotufanyia hizi biashara Za usiku wa manane
Ndugu zangu "watanganyika"?!!!

Wewe ni miongoni mwa kundi la watu wenye nafsi za kibaguzi ,kujikweza kusiko uhalisia?!!!
Hakuna watu wabaguzi kuliko waafrika weusi. Tunawaona wanayoyafanya hapa Zanzibar Na huko Tanganyika Tunaona wanayofanyiwa Chadema
Umeishi tu Zanzibar na kutembelea tu huku bara kuyaona hayo tu ya ubaguzi wa watu weusi?!!

Tembea uone ubaguzi wa wahindi ,wazungu na waarabu........ama hawa neno XENOPHOBIA haliwahusu bali sisi tu watu weusi ?!!!

Pengi "minorities" wanapata shida......ukiona huko Zanzibar watu wanabaguliwa basi ujue ni hizo tabia za ubaguzi za WALIO WENGI....

Mathalani umefanya ubaguzi wa kuwabugua(XENOPHOBIC) Watanganyika kuwa wanafanya BIASHARA MBAYA NA MBOVU.....kwako wewe biashara hizo hazifanywi na walio wengi(Wazanzibari)...🤣🤣

Chief nimeishi Malindi Kenya.....kilomita 120 kaskazini huko kutoka Mombasa.....kule walio wengi wana TABIA ZA KINAFKI SANA.....FULL UNAFIKI wa kuwasema wengine-wachache "wauzaji"....cha ajabu WAZAWA wanauza kisirisiri tena wakiwa na NGUO ZA HESHIMA KABISA......ukiwa mgeni/mtalii unafuatwa na "pimps" na kukuuliza iwapo unahitaji "wari"...ukiwatip chapaa wanakuletea hotelini wakiwa wamevaa mavazi ya heshima na ya "kujificha"....wari wabichiii....wari wazawa kabisa.......

Tembea hata Lamu....kule Langoni na Mkomani.....japo Lamu ni kwa kificho kifichoo mnooo ......

So don't pretend to be too innocent and stop putting blame and cross fingers on our few sisters of mainland particularly from Dar and Tanga region wanaofanya hizo mambo......

Kullul Haqqu lau kanna murra!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…