Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,963
- 110,483
he mshenga tafadhari bwana migo migo hii hii niijuayo mie?? embu ngoja nifike eneo la tukio kwanza.
Hapo hapo...
he mshenga tafadhari bwana migo migo hii hii niijuayo mie?? embu ngoja nifike eneo la tukio kwanza.
daaah!! mkuu Arushaone samahani sana ndo taabu ya kuingia kwa ku beep niasoma haraka haraka ile post roho ikaniuma sana kumbe haikuwa hivyo??Kwanza naomba ujue kuwa sijawahi kupigwa BAN kabisa!! Slave naomba sana edit pale ulipoandika kuwa nimepigwa ban. Kama kuna member kaniandika hivyo alikuwa amemaanisha kuwa ingekuwa vipi kama ningepigwa ban?
Rudia kusoma ile thread tena!
aaah noti nitashika mwenyewe wewe subiri nikifulia ndo nitafute
sio hivyo ila wewe ndo umenifundisha ubahili mie zamani sikuwa hivyo
dah Mr Rocky kuja mjini haiwezekani. hao watoto wa mjini wanavyo jua kutafuna noti namna hiyoSlave njuluku muhimu bana we muulize king mswati Arushaone na Erickb52 nini kinawapa jeuri ni njuluku mkuu. Bila hizo heshima hakuna hakuna na ukiwa nazo akina Preta, Arabela, Madame B, Blaki Womani, sweetlady, snowhite, Evelyn Salt, Amyner, Mamndenyi , Dena Amsi Paloma, ladyfurahia, marejesho watakupa heshima mjini aise
Zisake mkuu ukipata njoo mjini kutumia sasa@
kwani umeokoka siku hizi? umeacha kunywa bierre??
ha!!!!!!!!!!!! Passion Lady hapo ndo kabsaaa unanifirisi!!!biere sinywi
nimehamia kwenye whysky!
ha!!!!!!!!!!!! Passion Lady hapo ndo kabsaaa unanifirisi!!!