amani iwe nanyi wana chit-chat

amani iwe nanyi wana chit-chat

Nitakuja lakini sipajui ni wapi nipe mwelekeo basi
wewe nyoosha tu njia hii ukifika kule mbele kata kusho hapo utatembea kidogo kama hatua 4 hivi utaona ki njia kina chepukia kusini kifuate hicho hicho ki njia mpaka mbele kabisa kuna jengo kubwa limeandikwa watu8

technician basi ukifika tu hapo mwambie mhudumu akuitie Slave ataniijia mie nipo na kaka yangu huku Arushaone.....
umenisoma ladyfurahia ????????????????
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom