amani iwe nanyi wana chit-chat

amani iwe nanyi wana chit-chat

Amani iwe pia nawe! Karibu tena! Siku nyingine ukiwa na shida ya working capital mtafute Bishanga na matajiri wenzake!
Paloma Bishanga alikuwa zamani bwana sio siku hizi, kawa mzee wa kupenda dogodogo huyo anaweza haribu kazi
 
Last edited by a moderator:
Hapo Mapipa kuna lori la pesa limeanguka...watu wanaokota lakini hawazimalizi, kama vipi jimuvuzishe maeneo hayo.
he mshenga tafadhari bwana migo migo hii hii niijuayo mie?? embu ngoja nifike eneo la tukio kwanza.
 
Amani kwako pia Slave .Endelea kutafuta kwani mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe....tumia na akili lkn
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom