Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,003
- 6,305
Ni kweli kwani kuna taarifa kuwa Waliomdhalilisha Mlinzi wa Esther Matiko wa Jimbo la Tarime Mjini na wale waliomshambulia Catherine wa Jimbo la Seringeti ni Makada wa CCM waliovalia sare za Jeshi la Polisi.Wao kazi yao nikufanya sabotage kwa wapinza kuwatumia vijana wa CCM'by doing so they create haterage'
Na inasemekana pia wengi wa askari watakao kuwa kwenye vituo vya kupigia kura tar. 28/10 ni hao hao kwa maigizo ya Jeshi la Polisi.
Wapinzani hasa sisi CHADEMA na ACT Wazalendo tuweni makini mno kuliko kipindi kingine chochote.