[emoji3] [emoji3] [emoji115]Huyo ni kichaa kweli hata alipoonekana nje ya geti la mirembe na kuulizwa kwa nini yuko nje wakati wenzake wamefungiwa ndani alijibu maisha ya boarding yamemchosha hivyo amehamia day.
Hahahaha ha ha! fumbafu sana(kinyambe voice)