Ama kweli USIKU ni kiboko ya mambo...!

Lol, mzee laanakum huyu. Afu mshua toka maza aingie toharani unaongelea tu nanihii. Usije ukambemenda dogo manake ntakuleta hapa uhukumiwe.mkweo anakusalamia.

Haya nieleze, kwanza jana kwa nini ulinidanganya, nimesubiri wee hadi pilau likanidodea.............
 
Duh, leo umetoa mpya, hebu nieleze jana ulipiga vyupa ngapi za DOMPO au ulikwenda mwendo wa TEQUILA.....?

Jana niliingia choo cha KIUME, Nimepiga Kitu SAINT ANNA kidogo nikaona haikolei, nikahamia airtel kwenye AMARULA, Si ndo shetani akanipitia nikaamua kutest ile COMBINENGA!!!!!!!! Nikamix AMARULA na SMINORFF!!!!!!!! Aiseeeeeeee! Nimekomaaaaaaaaaa!!!! Glass Mojaaa NETWORK CHALIIIIIIIII!!!!!!!!!!!!!! Moja haikai, Mbili haikaii! Nimeamka saa moja leo toka jana saa tano, sijui nini kinaendelea!!!!!!! Atleast nilikuwa na company inayoeleweka!!!!!!!! NAACHA POMBE RASMI KUANZIA LEO!!!!!!!
 
Natamani ningekuwepo eneo la tukio maana huwa napendaga midondo kaa nini........ Hapo ni mwendo wa ridhki fil manyati, wala haihitaji kuinyatia...............
 
Hahahaaaaaaaaaaaaaa! Nilikuwa na My Broder na cousins wangu wakorofi haooooo! UNGEPEWA NAKOZZZZZZ ZA KUFA MTU NA KUTUPWA KWA MTARO!!!!!!!!!!!!!! CHEZEYA WATOTO WA KINO WALIOBAHATISHA HELA YA KUBADILISHIA MBOGA!!!!!!!!!!!!!! WANAJIONAAA DON CARLEON BADO SANAAAAA!
 
Mh, hapo ningechemka, maana sipendagi vagi............... Kumbe huwa unatembeaga na askari wa miavuli........ Binti una akili wewe.............

Naomba nikupe KIDATE cha lunch leo pale Mnazi Mmoja MAULANA RESTAURANT au pale KISUTU TEA ROOM opp. na CBA
 
Wale wadada wanaochonga sana humu chit chart, saa hizi weshafichwa na waume zao, kwishnehi, hakuna hata mmoja online. kutwa kuchapa umbea humu saa hizi kimyaaa....
Chezea wanaume nyie..

black-couple-in-bed-pf-378x414.jpg

Mida hii huwezi kumuona lara 1, gfsonwin,
King'asti, charminglady, cacico, MadameX, snowhite, Kipipi, Preta, Smile, Ciello, Remmy, Yummy, nivea, @FP, sweetlady FirstLady 1 .............
Na wa nok nok wengine.........................LOL

Niache maraha ya kitandani, nihangaike na chitchat za watu nisiowajua sura zao...weeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Wale wadada wanaochonga sana humu chit chart, saa hizi weshafichwa na waume zao, kwishnehi, hakuna hata mmoja online. kutwa kuchapa umbea humu saa hizi kimyaaa....
Chezea wanaume nyie..

black-couple-in-bed-pf-378x414.jpg

Mida hii huwezi kumuona lara 1, gfsonwin, King'asti, charminglady, cacico, MadameX, snowhite, Kipipi, Preta, Smile, Ciello, Remmy, Yummy, nivea, @FP, sweetlady FirstLady 1 .............
Na wa nok nok wengine.........................LOL

Kati ya wote uliowataja, mwanamke ni mmoja tu apa.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom