STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,262
- Thread starter
- #61
I wonder hawa wanawake wanavyotupelekesha... Watakuja watuuwe hawa viumbeWe unadhani kama mnafanya group assignment halafu wewe ndo mtafuta material wewe ndio mwandishi wewe ndio typist wewe ndio printer, mwenzako anawaza atapata max ngapi, hio asynment ameifanya nani kama sio wewe peke yako.. Blaza umeanza kuwa mbulula sku hz, inakuaje huelewi?
[emoji1] [emoji1]