jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,301
- 43,110
hawa viumbe ni zaidi ya maVampire wananyonya hadi tone la mwisho kisa katobo tu..daaah sometimes i do hate them.
Jamani, hivi kumbe na wanaume mnaliaga kwenye tendo?Mwanamke anamuita mpenzi wake,Baby,njoo
unifuate mjini nimekumiss,unatoka Tegeta unaenda
posta,unapita sheli unaweka mafuta,mengi tu,...haya
umemchukua mmeenda hotelini kupiga mechi ya
mchangani, hoteli umelipa mwanaume tena ye katulia
tu...Si ajabu hata kwenye mechi ye katulia tu kama anasubiri siku ya Ufufuo, viuno unakatika wewe tu
kama Nyoshi el Saadat...haya,Makelele wakati wa
mechi tupige wote na si ajabu mimi ndo nimepayuka
kuliko wewe...
Tumemaliza,nimekurudisha kwenu Mbagala,mafuta
tena maana gari haitumii Nivea lotion...Halafu bado tena na kesho ntapigwa mzinga wa laki 2 sijui za nini
na nini,ukimnyima anasema eti unanitumia unadhani
nakupa bure...khaa,sasa nilipie nini wakati raha
tunasikia wote?Na makelele nimepiga mimi zaidi
yako,na viuno mimi kama steji shoo wa Mashujaa
Band? Mahusiano ya Kimapenzi sometimes ni kama Master
and Slave hivi,kuna mmoja atakuwa tu mtumwa,ndo
maana Wanaume hawajengi,halafu
mnawasema,watajenga saa ngapi?ndo maana
wanaona bora wabahatishe kununua magari ya
mikopo,maana kila mkicheza mechi unapigwa kipira cha mzinga,usipotoa na kipochi manyoya hupati.Kweli
uanaume kazi.
Kwa hisani ya watu wa Marekani!
Wanatuandama sana, kwani si wafanye kazi nawao watuhonge waone kama ni kazi rahisiUshirikiano zero pale kitandani ila invoice ndo za kumwaga tukisema ooh wanaume wa siku hizi mnalalamika sana.Sasa mtu hupumui mapenzi kidogo mizinga mingi bora nipige yowe.
Hebu nipe ramani ya hiko kijiji ili nije kutaliiBro anakupiga mzinga laki 2 na kila kitu wewe umeghalamia?
Njoo kijijini kwetu huku tambaa utwike laki mbili unapata mke tena aliefundwa na mbuzi mzima unachinjiwa.
Achana na hao feki wanaoomba hela original
Hebu nipe ramani ya hiko kijiji ili nije kutalii
Jiwe limerushwa gizani, huu mchezo hauhitaji hasira.Mwanamke anamuita mpenzi wake,Baby,njoo
unifuate mjini nimekumiss,unatoka Tegeta unaenda
posta,unapita sheli unaweka mafuta,mengi tu,...haya
umemchukua mmeenda hotelini kupiga mechi ya
mchangani, hoteli umelipa mwanaume tena ye katulia
tu...Si ajabu hata kwenye mechi ye katulia tu kama anasubiri siku ya Ufufuo, viuno unakatika wewe tu
kama Nyoshi el Saadat...haya,Makelele wakati wa
mechi tupige wote na si ajabu mimi ndo nimepayuka
kuliko wewe...
Tumemaliza,nimekurudisha kwenu Mbagala,mafuta
tena maana gari haitumii Nivea lotion...Halafu bado tena na kesho ntapigwa mzinga wa laki 2 sijui za nini
na nini,ukimnyima anasema eti unanitumia unadhani
nakupa bure...khaa,sasa nilipie nini wakati raha
tunasikia wote?Na makelele nimepiga mimi zaidi
yako,na viuno mimi kama steji shoo wa Mashujaa
Band? Mahusiano ya Kimapenzi sometimes ni kama Master
and Slave hivi,kuna mmoja atakuwa tu mtumwa,ndo
maana Wanaume hawajengi,halafu
mnawasema,watajenga saa ngapi?ndo maana
wanaona bora wabahatishe kununua magari ya
mikopo,maana kila mkicheza mechi unapigwa kipira cha mzinga,usipotoa na kipochi manyoya hupati.Kweli
uanaume kazi.
Kwa hisani ya watu wa Marekani!
ME daraja la kwanza...Jinsia yako please