Ama kweli uanaume kazi, ona sasa

Ama kweli uanaume kazi, ona sasa

Unalalamika nini, si uoe tu ujilie ulivyolipia?

Hesabu za mafuta yaliyotumika na fedha za matumizi zitakwenda pahali husika
 
Heri uoe tu bro!kuliko kutoa matumizi ya kimwendokasi!!!pesa ninayopata ni kwa ajili ya familia yangu tu ikizingatia na maisha yalivyo sasa sithubutu kutafuta sifa za kijinga🙁
 
Si unawajua wanawake kwa maneno? Ngoja waje hapa watupie comment moja tu, nyote lazima mpige kimya!
 
Ukiona mwanamke anakupiga kizinga haijui thaman ya mwili wake cos walau angejua asingethubutu kujigeuza bidhaa isiyolipiw TRA.
 
LOVE IS DEAD.. UNAFANYA MAPENZI NA DEM HUKU KICHWANI ANAWAZA THIS NIGGA BETTER NOT LEAVE ME EMPTY HANDED.. YAAN KWA KIFUPI UNAKUA KAMA UNAJIGEGEDA MWENYEWE, MWENZAKO HAYUPO.
 
Unalalamika nini, si uoe tu ujilie ulivyolipia?

Hesabu za mafuta yaliyotumika na fedha za matumizi zitakwenda pahali husika
Unaeza ukaoa alafu ukafa na stress za kuchapiwa
 
Heri uoe tu bro!kuliko kutoa matumizi ya kimwendokasi!!!pesa ninayopata ni kwa ajili ya familia yangu tu ikizingatia na maisha yalivyo sasa sithubutu kutafuta sifa za kijinga🙁
ukishaoa
Baada ya wiki moja tu, unaenda kujiunga na clinic ya wagonjwa wa presha
 
LOVE IS DEAD.. UNAFANYA MAPENZI NA DEM HUKU KICHWANI ANAWAZA THIS NIGGA BETTER NOT LEAVE ME EMPTY HANDED.. YAAN KWA KIFUPI UNAKUA KAMA UNAJIGEGEDA MWENYEWE, MWENZAKO HAYUPO.
Unajigegeda mwenyewe??? ... What hell is this
 
Unajigegeda mwenyewe??? ... What hell is this
We unadhani kama mnafanya group assignment halafu wewe ndo mtafuta material wewe ndio mwandishi wewe ndio typist wewe ndio printer, mwenzako anawaza atapata max ngapi, hio asynment ameifanya nani kama sio wewe peke yako.. Blaza umeanza kuwa mbulula sku hz, inakuaje huelewi?
[emoji1] [emoji1]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom