Ama kweli, siku hazigandi. Leo nimekutana nae after 21 good years

Hii overtaking uliyotufanyia ni zaidi ya uteuzi wa Mpango kuwa Makamu wa Rais.
Watu tulijua inazingumzia mrembo ambaye umetoka kuwa naye kwenye mahusiano zaidi ya 20 yes! Lol
 
Ha ha! Hili litakuwa gumzo.. sikuhizi tatizo nyie wazee wetu mmeanza hadi kutuchukulia vimwali vyetu! Mkeka mlishaanza kuuchana nyie wenyewe..😂
Tunawasaidia kutunza kwambaaaaali sana....🤣🤣
 
Back
Top Bottom