Ama kweli ndoa ndoano

Naunga mkono hojaa
 
Asante
 
Nakazia๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Nipo pale, siku nitakaa nije kuamini hayo maneno labda Kristo amerudi. Yaani in any relationship upendo huisha unless uwe wa mama kwa mtoto ila na wenyewe sikuizi bado unaisha. Hakuna mwanamke atakayekupenda maishani mwake yote maana hisia ikishazoeleka huevaporate hata iwe inachagizwa na nini maana hata hicho kichagizo pia huzoeleka na mazoea kamwe hayazoeleki. Uliletwa duniani mwenyewe duniani basi utarudi mwenyewe hivyo hakuna upendo wa milele kati ya mke na mume ndio maana wastaafu wengi hupata shida sana baada ya kustaafu maana hawajazoea kujitosheleza maishani lazima mwenza awepo hivyo wanapoachana basi mmoja anaweza fariki.
 
Simple tu Amruhusu tu aende kwao... Uchawi ukimuisha kichwani.. ndo afanye maamuzi ya kurudi KWa mumewe au la...
 
Huyo mwanamke ingekuwa mm ananitolea kauli kama hizo ningemrekodi ujinga wake nibaki na ushahidi alafu namfukuza usiku wa saa6 had8 kama mbwaaa akaoelewe anapotaka
 
Wanaachana kwa sababu gani labda? ๐Ÿ˜‚ Ukishafahamu kuwa baba kuwa busy inampa relief mwanamke tofauti na kushinda nae ndani full day ndio utaelewa nachokisema.

Mahusiano wengi tunaya abuse wenyewe na ndio maana hisia zinakufaga. Ukisharuhusu boredom i kick in kwenye mapenzi yenu that means kuna mmoja ameanza kutegea.
 
Boredom is inevitable maana hakuna kitu chenye mwanzo kisochokuwa na mwisho. Na baba hawezi kuwa busy miaka yote ya maisha yake utafika umri wa yeye kupumzika.
The passion to do something does not always last, ndio maana kila kitu huwa na mwisho sembuse hisia boss๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Mfano, hiyo too much expectation uliyoiweka ya kusparkle light into love everyday as you live inaweza kuja kuwa jambo litakaloua kabisa mahusiano na upendo wako. Everything has an end even those who invented love die sembuse the love itself. Kuishi kwa bahati sio sawa katika maisha hata kidogo. Let's live in the neutral area there.
 
๐Ÿคฃ Sawa sawa kila mtu aamini anachoamini
 
Huwa nasema mara zote, kuna kitu ukikikosea tangu siku ya kwanza kwenye mahusiano basi utateseka maisha yako yote kwenye mahusiano hayo. Kitu chenyewe ni KUJIAMINI.

Ukishindwa kujiamini tangu siku ya kwanza kwa mwanamke, ukamuonesha hofu hata ukiwa na bilioni mia ngapi benki, iko siku kutojiamini kwako kutakutia fimbo tu. Mbaya zaidi ukitumia uwezo wako wa kiuchumi kumpata mwanamke halafu usiwe na uwezo wa kujiamini, iko siku utalia.

Nimeyaona haya na nimeyaishi.
 
Ndo ukweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ