Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 9,761
- 15,575
Umekaa zako tu hivi unawaza nikimtoa kafara mzazi vip, maisha yawe mepesi unasema hapana.
Kumbe mzazi nae anawaza sina nguvu za kutafuta ndoto sijafikia.. ngoja niamakiza tu watoto unamaliziwa dadeki
Mke kumbe hakundi anakumaliza anaolewa na mwingine daaaa ni noma.
Sema Tanzania tunaenda kuikomboa wazee, Hatutaki viongozi wajinga wauwaji.