Ama kweli Duniani kuna magumu ya kuamua

Ama kweli Duniani kuna magumu ya kuamua

Hivi mkuu umesoma mada au umejibu tu? Si kasema alijitoa kuwa yeye hakusikia chochote??? Huku kukosa umakini ndio kunatuponza watanzania wengi.

Tukirudi kwa mtoa mada. Kwa maana hiyo ulidanganya mahakama? Maana kama ni kweli mshua alitishia maisha ungesimamia ukweli huo hata kama utakuponza. Na kitu cha pili ulifanya maamuzi sahihi pia kwa wakati huo na inakubidi usimamie maamuzi yako. Ndo ukubwa huo kila kitu tunachofanya duniani kina consequences na unapoamua kitu kiwe kizuri au kibaya uwe tayari kwa matokeo yake. Aidha mazuri au mabaya pia,ishi kwa amani kubali ukweli tengeneza ya kesho hayo ya miaka 9 iliyopita achana nayo huwezi kuyabadili
Sawa boss wangu ila limekuwa lapeke yang muda mrefu nikaona nibora nikashea kidogo nawadau.
 
Ndio maana nimeshangaa,anasema alijitetea kwamba hakusikia chochote, baba yake alifungwa kwa ushahidi wa nani???

Vipi anauliza tungefanyaje kama ni sisi??
Ukiipitia vizur hio post ina najibu ya maswali yako mkuu
 
nenda kwa mchungaji kanisani mweleze naamini utapata the best way forward
 
Darasa la saba kua na demu hiyo kwa sie tuliosomea vijijini ni kawaida sn mwenyewe nilianza darasa la tano. Sijui nyie wa mjini. Pili kutegemewa kuna namna nyingi, kwani wewe apo ulipo km unae mtoto humtegei?
Nilisoma kijijini ila mahusiano nilianza nikiwa kidato cha pili
 
Mkuu story yako nimeielewa sana, uamuzi ulioufanya ulikuwa ni uamuzi wa maana, hata ukirudisha nyuma utajikuta huna uamuzi bora zaidi ya huo.

Tatizo ninaloliona hapo ni vinyongo vya hali ya juu vilivyopo juu ya wazazi wako, hasa mama, kuna kitu ambacho labda mzee alimfanyia na kaahidi kufa bila kusamehe, zaidi ya wao kupatana, wewe huwezi kupatana na yeyote kati yao mpaka wao wapatane.

NB: Vipi kuhusu kusoma, ulipata wapi msaada? Na uko level gani kwa sasa?
ulipotelea wapi mkuu?
 
sometimes wazazi ndo wa kwanza kuharbu watoto, ww km ulichosema ndo ukweli, potelea mbali mungu ndo anahukumu sio wao. Pole sana najua kinachokuumiza n kukosa ukarbu na wazazi. By the way, Je uliendelea kusoma? na n yupi aliekusomesha?
 
Una ushoooga kwa mbaaali.... nahis ni mwanaume pekee katika hao wa5.... the rest ni wanawake.


Huwezi kupitia life la hivi afu unaandika eti "mtoto wa watu"
Neno gan ili....
 
Pole kwa yaliyokusibu. Bahati mbaya wazazi wako ni wabinafsi. Ulichotakiwa ni kuongea ukweli tu, na hata kama matokeo yangemuathiri mmoja wa wazazi wako, huo ndio ukweli na asingeweza kukushutumu juu ya wewe kuongea ukweli wa kilichotokea. Ni kama alivyofanya mdogo wako kutokana na udogo wake na hivyo hakuchukulia atamdhuru au kumpendelea nani. Ukijaaliwa kupata watoto, wafunze kusema ukweli, na pia hakikisha huwakwazi kwa kuendekeza ubinafsi.
Kwa sasa jaribu kufuatilia maisha yako, inaelekea magomvi ya wazazi yanakuathiri, yaliyotokea yametokea, tengeneza maisha yako usije haribikiwa kwa kujaribu kuwaridhisha wao, wala usijihisi kuwa uliwakosea, wao ndio walikukosea wewe na wadogo zako kwa kutokuwa na maamuzi ya busara katika maisha.
 
sometimes wazazi ndo wa kwanza kuharbu watoto, ww km ulichosema ndo ukweli, potelea mbali mungu ndo anahukumu sio wao. Pole sana najua kinachokuumiza n kukosa ukarbu na wazazi. By the way, Je uliendelea kusoma? na n yupi aliekusomesha?
Mkuu kusoma niliendelea untill now nimeshaitim masomo yang ya chuo nipo kibaruani.[emoji120] [emoji120] [emoji120] .

Msaada wa kusoma kwa asilimia 70% ilitoka kwa mama.. 20% kwa baba...10% kwa babu.
 
Una ushoooga kwa mbaaali.... nahis ni mwanaume pekee katika hao wa5.... the rest ni wanawake.


Huwezi kupitia life la hivi afu unaandika eti "mtoto wa watu"
Neno gan ili....
Nashukuru mkuu kwa kuniwazia nisivyo ila mimi ni mwanaume halisi niliekamilika huenda kuliko wewe....

But kwasababu ni mtazamo wako siwezi kukuzuia kuwaza utakavyo neno *mtoto wa watu* akilini mwako limejengwa vibaya.

Kwa mtazamo wako unataka kutuambia wewe ni mtoto wa manyani?????? Mitazamo ni mingi duniani sikushangai ukiwaza ulichosema.
 
Back
Top Bottom