Ama kweli Duniani kuna magumu ya kuamua

Ama kweli Duniani kuna magumu ya kuamua

Niliwaruka kistail kuwa sijashuhudia tukio lolote huenda walipishana kauli baada ya mimi kuondoka.

Maelezo hayo yakapelekea mdogo wangu wa mwisho kuitwa na kufunguka ukweli kuwa mzee kweli alikuja akamtishia mama kumuuwa .

Dah nikachoka kichwa na akili zote.

Had leo maamuz yangu yananiandama chini chini maana najitaid kuvunja ukuta lkn nawekewa kwa lazma.

Kila mzazi anawaza huenda akiwa karbu na mm kuna siku nitamruka so wananitenga kiana flan iv.

Japo huwa nakuwa karbu nao ili kuvunja hio dhana kichwani mwao.
Kutengana kwa wazazi watoto wanakua na kipindi kigumu sana hasa ikitokea wazazi wanaugomvi usio isha kila wakionana ugomvi utafikiri ndio unaanza.
 
kwendaaa huko na ka story kako cha kutunga hiyo story kuna mtu kanituia whatsapp na ina treand toka mwaka jana
 
Kutengana kwa wazazi watoto wanakua na kipindi kigumu sana hasa ikitokea wazazi wanaugomvi usio isha kila wakionana ugomvi utafikiri ndio unaanza.
Mkuu bora na wewe umelijua hili yani unajikuta upo katikati hujui uende kushoto au kulia dah inaumiza hasa kisaikolojia.

Nilifel form 4maana nawaza sakata la wazaz maana ugomvi umedumu kwa muda mrefu until now.
 
kwendaaa huko na ka story kako cha kutunga hiyo story kuna mtu kanituia whatsapp na ina treand toka mwaka jana
Mkuu huo ni uhalisia wa maisha yangu mwenyewe.

Siwezi tunga story nikaifanya yangu bila kusema ni finction mkuu.

Silazma kuelewana ila ni muhimu kla mtu kumuelewa mwenzake

Tnx mkuu
 
Kweli usemavyo duniani humu kuna magumu mengi ya kuamua.
Na hicho ndio hutambulisha kiwango cha hekima alichonacho mtu.

Mfalme Suleiman kwa kutambua hilo alimwambia MUNGU "naomba unipe hekima niweze kuwaamua watu wangu" na katika hilo alifuzu.
Posibles yan ngumu japo najua wapo wakiopitia magumu zaid yangu ila kwakiwango hiki nilikata tamaa yakuishi.
 
Ni lazima useme mwisho nini kilitokea ili iwefundisho kwa wengine hata hivyo inaonekana hukuzichanga karata zako vyema. Kwann mzee afungwe? Kwani ungekataa tu hakumtishia maisha si kesi ingeisha! Au unadhani mama angeshtakiwa? Hakuna kitu km hicho.
 
Nimesikiliza maombi yenu nimeshaimalizia tayari.

Karata unayosemea wewe niliwaza kuicheza lakini niliogopa kuwa huenda mama angegeuziwa kibao kuwa amedanganya mahakama hivyo adhabu inamuangukia.

Japo kiukweli walirushiana maneno makali sana.
 
Umesema ulimaliza darasa la saba na ukawa unasubiri kwenda form One, tena ukasema ulikua unawaza kujinyonga ukakumbuka demu wako,
Alafu ukaongeza kusema wazazi wako wote wanakutegemea

Kumbe darasa la saba aliyefaulu na anahitaji msaada wa kwenda form one anaweza kutegemewa na wazazi[emoji23] [emoji23]
Alafu darasa la saba pia ana demu[emoji23] [emoji23] kama ndo ivi tutalaumu sana walimu na serikali

Anyway ni bonge la story jaribu kuboresha baadhi ya maeneo hata bongo movies kuna mambo madogo madogo yanawaangusha[emoji23]
 
Mkuu huo ni uhalisia wa maisha yangu mwenyewe.

Siwezi tunga story nikaifanya yangu bila kusema ni finction mkuu.

Silazma kuelewana ila ni muhimu kla mtu kumuelewa mwenzake

Tnx mkuu
OK
 
Umesema ulimaliza darasa la saba na ukawa unasubiri kwenda form One, tena ukasema ulikua unawaza kujinyonga ukakumbuka demu wako,
Alafu ukaongeza kusema wazazi wako wote wanakutegemea

Kumbe darasa la saba aliyefaulu na anahitaji msaada wa kwenda form one anaweza kutegemewa na wazazi[emoji23] [emoji23]
Alafu darasa la saba pia ana demu[emoji23] [emoji23] kama ndo ivi tutalaumu sana walimu na serikali

Anyway ni bonge la story jaribu kuboresha baadhi ya maeneo hata bongo movies kuna mambo madogo madogo yanawaangusha[emoji23]
Kuwa darasa lasaba haimanishi una umri mdogo.....

Kusema wazazi wananitegemea sio kumaanisha kuwa mm ndio nawatunza.

Wananitegemea kwenye muktadha wa sakata lao yaan mimi ndo shahidi wa mwisho wakuamua nan afungwe nan awe huru.

Kwa mantiki hio kila mmoja alikuwa ananitegemea msaada kwangu nimsaidie kushinda kes yake.

Kuwa na dem darasa lasaba hio mbona kawaida mkuu wengine mapenzi hatukuanzia sekondari mkuu.
 
Mkuu mimi sijaona tatizo kwenye mtiririko wa hiyo story;-

Kuhusu kumaliza darasa la saba ukiwa na demu, mimi wakati namaliza darasa la saba kuna demu nilikuwa nampenda sana, nilifaulu kwenda sekondary ya kawaida na seminary, nilikataa kwenda seminary kwa sababu ya ule mwaka wa pre-form one niliona siwezi kuzidiwa kidato na huyo demu so nikaenda shule ya kata.

Kuhusu kutegemewa na wazazi, vijijini ukishakuwa mtoto wa kwanza tena wa kiume, unakuwa automatically na majukumu ya kuwalea wazazi, ni muda tu unakuwa unasubiriwa, lakini hilo jukumu unakuwa nalo kabisa.
 
Kuwa darasa lasaba haimanishi una umri mdogo.....

Kusema wazazi wananitegemea sio kumaanisha kuwa mm ndio nawatunza.

Wananitegemea kwenye muktadha wa sakata lao yaan mimi ndo shahidi wa mwisho wakuamua nan afungwe nan awe huru.

Kwa mantiki hio kila mmoja alikuwa ananitegemea msaada kwangu nimsaidie kushinda kes yake.

Kuwa na dem darasa lasaba hio mbona kawaida mkuu wengine mapenzi hatukuanzia sekondari mkuu.

Mkuu story yako nimeielewa sana, uamuzi ulioufanya ulikuwa ni uamuzi wa maana, hata ukirudisha nyuma utajikuta huna uamuzi bora zaidi ya huo.

Tatizo ninaloliona hapo ni vinyongo vya hali ya juu vilivyopo juu ya wazazi wako, hasa mama, kuna kitu ambacho labda mzee alimfanyia na kaahidi kufa bila kusamehe, zaidi ya wao kupatana, wewe huwezi kupatana na yeyote kati yao mpaka wao wapatane.

NB: Vipi kuhusu kusoma, ulipata wapi msaada? Na uko level gani kwa sasa?
 
Kuwa darasa lasaba haimanishi una umri mdogo.....

Kusema wazazi wananitegemea sio kumaanisha kuwa mm ndio nawatunza.

Wananitegemea kwenye muktadha wa sakata lao yaan mimi ndo shahidi wa mwisho wakuamua nan afungwe nan awe huru.

Kwa mantiki hio kila mmoja alikuwa ananitegemea msaada kwangu nimsaidie kushinda kes yake.

Kuwa na dem darasa lasaba hio mbona kawaida mkuu wengine mapenzi hatukuanzia sekondari mkuu.
Aisee kwa hiyo unazini tangu shule ya msingi[emoji23] [emoji23]
Sawa ila komaa dogo life siunaliona
 
Mm ni mzaliwawa kwanza(First born) kwenye familia yetu yenye watoto watano.

Wazazi kabla ya kunileta duniani sikujua hali ya aman kipindi hicho ilikuwaje ila naamini walikuwa wawili wapendanao ndio maana wakakusudia kuanzisha familia pamoja.

Uzi huu sio kwaajil ya kuwalaumu wazaz wangu *hapana* Nawapenda sana mpaka mwisho wa uhai wangu pia nawaombea kher kila uchwao.

Wawili hawa walianza kupishana kauli na kupelekea kurudishana mara kwa mara nyumbani pindi mimi nikiwa darasa lasaba mwaka 2008.

Kipindi hicho bado akili za darasani zipo ila zile zingne bado zilikuwa likizo.

Mtoto wawatu nikafaulu uzur kwenda sekondar lakini wakat napokea matokeo hayo familia yangu haikuwa pamoja, na hapo mother yupo kwao tumebaki na baba ambae ametuacha kwa baba yake yan Babu yetu.

Nilipompelekea baba taarifa ya mimi kufaulu aliniambia sawa nimekusikia tutalifanyia kazi.... . sikuishia hapo nikapeleka taarifa pia kwa mother alichonijibu nikwamba nikamueleze baba maana yeye tayar hawezi kufanya maamuzi zaid ya kunishaur na kutoa msaada pale nitakapoanza sekondari.

Sasa kwenye sakata la mimi kwenda shule baba akaenda kwa mzazi mwenzake ( mama) ili kufanya majadiliano kidogo kuhusu mimi kwenda shule.

Kama unavyojua wanandoa waliogombana kumbukumbu zao zote zinakumbuka ugomvi tu wakapishana kauli tena wakarushiana maneno mazito.

Mama akaamua kumshitaki mume wake kwa kosa la kuja kwake na kumtishia maisha na kumtukana.

Ukweli siku hio nilikuepo wakat wanagombana mbele yangu.

Utata unakuja mahakaman ambapo mama amefungua kesi nzito ya kutishiwa kuuawa na shahidi ni mimi mtoto wao ambae nilkuwepo mwanzo mwisho.

Duh siku ikapangwa ya kuendesha kesi........kabla ya kwenda nikawa napewa mafunzo namna ya kwenda kusema mahakamani.

Upande wa baba wananipa yakwao.....upande wa mama wananipa yakwao. Dah kila upande unahitaji niutetee..

Mimi mambo yasheria sijui.... Kuendesha makesi ndio kilaza kama babashite....dahhhhh ilikuwa ngumu sana kwangu.

Shule ikafutika kichwani nikawaza nijiuwe wote wanikose siku ya ushahidi kakin mhhhhh kweli nife mm kijana mdogo kwa kujiua nikamkumbuka dem wangu nikasema sitajiuwaa.

Nilikuwa kama mfungwa huru yani kila aliekuwa anakuja nyumban hakuwa na mada tofauti na ile iliokuwa inausumbua moyo wangu.

Kichwa kilikuwa hakiwezi tatua hesabu ya 1+1 ukiniuliza hio najiangalia tu chozi linaenda ardhini.

Wazaz wangu wote nawapenda istoshe wote wananitegemea mm.

Itakuwaje ushahidi nitakaotoa ukasababisha mzazi mmoja akapelekwa jela?????? Si nitakuwa nimejenga ukuta na mzazi huyoo????

Maswali yalikuwa mengi kuliko majibu.......

Siku ilipofika nikasimamishwa kutoa ushahid pembeni yuko baba mbele hakimu pembeni mama wazee wawili(masesa) nawaona kwa mbele..

Kutizama dirishana wasikilizaji wapo wakutosha wametega masikio kunisikia naamua nan aende jela na arud nyumbani.

Eneo lile kulitulia ghafla kias kwamba ukihema kwa nguvu utaonekana umepiga yowe kwa ukimya huo.

Nilisita kuongea mdomo ulitikisika tu bila kutoa sauti yoyote wazee wawili wakaanza sema ukweli usitucheleweshe.

Na hapo nishakula kiapo cha biblia kuwa nitakachosema nichakweli kabsa mbele ya mahakama.

Mwisho wasiku nikasema nilikuepo siku hio wakati baba anakuja kwa mama lakn ugomvi sikushuhudia huenda baada ya mimi kuondoka walirushiana maneno huko nyuma.

Nikahitimisha mzigo ulionisumbua takribani wiki mbili kasoro.

Hakimu akanikazia jicho chozi likanidondoka ....

Siku hio ushahidi haukutosha ikapangwa siku nyingne shahidi ni mdgo mtu wa mwisho

Balaa kubwa kwangu dogo akafunguka ukweli wote mzee akapewa haki yake miaka miwili jela ila akalipa faini skarud nyumbani.

Maamuz yangu ya kipindi hicho yananifanya niishi bila ukaribu na wazazi wangu leo.

Kila mmoja ananitenga kiana flani japo najitahid kuwaweka karbu lakini kila mmoja anasukumia kwa mwenzake, wanadhani nitawasaliti tena kulingana na kile kilichotokea miaka tisa iliopita.

Nawaza kila siku ni njia ipi ningetumia ili kusolve bila kumkwaza yeyote??????????????????

Kwa staili kama hio ndugu zangu wana JF ningefanyeje??????.??...????????????????
Limepita lkn naitaji uzoefu wenu ili nijue je nilikosea kwa maamuzi niliochukua au la!!!

Karbuni
Hlikosea kusema baba alikuja nyumbani moja kwa moja ataonekana ndo mchokoz,mm nae yalishanitokea hayo nilisema hiv? Ndg mweshimiwa wakati hui nalia vibaya mno, ote ni wazaz wang nawapenda sana isitoshe nimefaur kwenda shule na sijaenda mpaka sasa na kisa ni wao kutengana nipo hapa kwa ajil ya kuwaunganisha ili mm niende shule sipo tayar kuongea uongo wa baba na mama kuachana, naomba wawe kitu kimoja ugomvi waga upo tu jamani nawaomba mshushe jaziba msijitengenezeee kes za kukomoana,hapo mnatukomoa ss wtt, mweshimiwa mm naomba hili swala tuliache tukaliongeee nyumbani.
Hapo nakuwa nimemaliza mda huo machoz mvua.
 
Tafuta hela,wote watarudi na kupendana,...huoni kwa baba diamond,mifano mingine ipo HAZARANI kabisa ktk jamii
 
kwa wakati ule ulifanya vyema hukutaka kumuumiza yeyote japo mama alitegemea ungemtetea yeye zaidi. mkuu isha kuwa historia haina haja ya kuumiza kichwa fanya nafasi yako ya kuwaheshimu na kuwapenda na kuwahudumia pale inapobidi pia usisahahu kuwaombea Mungu awafungue macho.. mkuu ni swala la mda tu soon wataelewa hakuna haja ya kujipendekeza .
 
Back
Top Bottom