Ama kweli Duniani kuna magumu ya kuamua

Ama kweli Duniani kuna magumu ya kuamua

Pole kwa yaliyokusibu. Bahati mbaya wazazi wako ni wabinafsi. Ulichotakiwa ni kuongea ukweli tu, na hata kama matokeo yangemuathiri mmoja wa wazazi wako, huo ndio ukweli na asingeweza kukushutumu juu ya wewe kuongea ukweli wa kilichotokea. Ni kama alivyofanya mdogo wako kutokana na udogo wake na hivyo hakuchukulia atamdhuru au kumpendelea nani. Ukijaaliwa kupata watoto, wafunze kusema ukweli, na pia hakikisha huwakwazi kwa kuendekeza ubinafsi.
Kwa sasa jaribu kufuatilia maisha yako, inaelekea magomvi ya wazazi yanakuathiri, yaliyotokea yametokea, tengeneza maisha yako usije haribikiwa kwa kujaribu kuwaridhisha wao, wala usijihisi kuwa uliwakosea, wao ndio walikukosea wewe na wadogo zako kwa kutokuwa na maamuzi ya busara katika maisha.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] asante kiongozi nashukuru sana kwa feedback zako zimeendelea kuniimarisha kifikra na kimtazamo.
 
Kwa hyo shule ikawaje yaan maana umeiachia hewan,,

Na pia kusema uongo ni dhambi na uliapa kwa bible pale mahakaman na bado ukasema uongo je ulishawafata ukawaomba msamaha kwa kuudanganya umma uliokuja mahakamani??
 
mkuu sio mbaya ulijitahidi kuutoa ukweli usio na madhara...ila dogo akaharibu vyote..Anyways upepo umepita, shukuru kwa yote then focus mbele zaidi
 
Kwa hyo shule ikawaje yaan maana umeiachia hewan,,

Na pia kusema uongo ni dhambi na uliapa kwa bible pale mahakaman na bado ukasema uongo je ulishawafata ukawaomba msamaha kwa kuudanganya umma uliokuja mahakamani??
Mkuu shule niliendelea nikahitimu kabsa....

Kuhusu dhambi ya kudanganya ukweli sijaikiri mbele ya mtu mwingine zaid ya huyo nilieapa kwake(Mungu).

Wazazi wangu nilimwendea kila mtu kwa mda wake tukakaa chini mm nikamalizana nao wakanisamehe kwa yaliotokea..

Lakin ile dhana ya wao kuniamini mm kama mtu mwnye maamuz thabiti punde linapotokea jambo hawana imani na mimi wanakuwa wakinirusha rusha kama mpira katikati..

Ukaribu naujenga laikini unabomolewa kwaio nakuwa mda mwingi nasimama pekee au nabase upande mmoja kulingana na hali halisi...

Japo najitaid kuvunja huo ukuta.
 
Binafsi naona ulijibu kwa kuwalinda wote sahihi kabisa.Hapo hata kama mzazi yeyote ana kuchukia ni kwanamnatu walivyotarajia kila mmoja alivo kufundisha maanayake kilamtu alitarajia ungetamka walivyo kuelekeza kilamtu alitarajia mmojawapo aangamie kiamtu alitarajia ungetamka walivyo kuelekeza kilamtu alitarajia mmojawapo aangamie kupitia ww.Nakupongeza kwa ujasili huo..Nini chakufanya iliurudishe imani kwakila mmoja"najua huenda ikawa ngumu kuwa weka pamoja nakuzungumza nao..Fanya kumuita mmoja mmoja kwa utulivu waweke wazi lengo lako lilikuwa jema kwa wote..ukiwahusia wewe nitoto huna sababu kumchukia yeyote zaiditu,ya kushauri muwe salama inapo bidi.Nimependa sana ulivyo represent
 
Nashukuru mkuu wangu napenda sana kushaurika naamini tu one day yes nitatekeleza moja baada ya lingine.

Nimepata Elimu kubwa sana nibora kuwa muwaz kuliko kuficha jambo kumbe kinawezekana.
 
Back
Top Bottom