napanga nimpe March, am too old kudanganya nikitoa tundi.
Ningekuwa nimempa, nisingeshangaa ni aje ana-gain power, hudhani hivyo?
Na kati ya hao wawili nani kapewa air time ya kutosha??
Stuka mkuu...lol!!
Babu DC!!
Kwa Zombie hiyo haijalishi. Na bahati nzuri sana kwa zombie ambayo ni bahati mbaya sana kwa mzembe, Mzembe hajaambiwa lolote kuhusu Zombie. STUKA!!Zombies make my knees wobbly! Ndo maana nawakimbiaga mie!
Bora kupendwa kuliko kupenda. Zombie anajua kuna mwenyeji?
(leo niko vere siriazi na sijavuta msuba jana. I promise)
age yangu
ehehee harusi ya kongoshoTujiandae kusheherekea harusi. Ntamwambia asimtese
Oh Mammmah! Na unapoenda huyo mzembe wako unayempa tunda bila shuruti anakuwa wapi?
Hahahahaha! Ulishawahi kumtandikia kitanda au huwa hakutumi chumbani kwake? Hapa mzee mwenzangu Dark City atakuwa kishanielewa LOL
huwa napata shida sana kuwaambia watu miaka yanguYaani na wewe unaweza kusema kuwa uko too old?
Labda kama unaongea na wale watoto wa Chang'ombe wanaocheza mdako...
Kwetu sisi tunaona bado hujafikisha meno 32....lol!!
Nina hakika na haya na shahidi yangu ni Bibi....Bisha tuone!!!
Babu DC!!
Zombies make my knees wobbly! Ndo maana nawakimbiaga mie!
Bora kupendwa kuliko kupenda. Zombie anajua kuna mwenyeji?
(leo niko vere siriazi na sijavuta msuba jana. I promise)
Kanyaga twende Kongosho...lol!!
Mie nitakuwa deputy wa MC kwenye siku ya kuhalalisha....
Zombie hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!
Babu DC!!
ehehee harusi ya kongosho
Zombies make my knees wobbly! Ndo maana nawakimbiaga mie!
Bora kupendwa kuliko kupenda. Zombie anajua kuna mwenyeji?
Mzee mwenzangu kilichobaki kwetu siye wa zamani, ni kumfunda Kongosho jinsi ya kuishi na watoto wa kambo.Tatizo watu wanasubiri eti mwanamke aliyepitia unyagoni aseme live bila chenga.....!!!
Thubutu....
Ila wenyewa wa one 1947 tulishaelewa kitambo!!
Babu DC!!
do you think so?
Ndo najiandaa, nimeona niongee kabla sijafanya lolote.
Si unajua jambo likiwa kwa mwingine rahisi sana.
huwa napata shida sana kuwaambia watu miaka yangu
uzee huu naitwa mtoto? nimedumaa tu jamani