mumuandae na kupambana na purukushani pia, hujachoka kila siku kuletewa matatizo humu?
He he he, anikurupue nini?
Uzuri wangu nikiyavulia maji nguo bana, huwa hakuna 'retreat or surrender'
Ntaweka mpaka mapema, wakakutane shambani sio hapo tutakapokuwa tunaishi, kama ni watoto wao wataelewana waishi wapi, kama wataishi napokaa mie, basi atawasubiri wakati wa likizo, kama wataishi na mama yao, ruksa kuja kwa baba yao likizo. Na wakiishi na mama yao najua suala la matumizi, namweleza mapema awe na account anadeposit asisubiri kuombwa.
Wakiamua kukumbushia wasinioneshe tu.[/QUOTE]
ni kongosho wewe?
Ha ha ha, when am in, nakuwa 'so in'
Watu wenyewe ndo hawa hawa, nitamaliza mabucha bure
Mbona ww ulisamehe? :high5:
lakini huwa unanishangaa kwa kusamehe kwangu,ukweli ni kwamba mwanamke yoyote akiingia kwenye ndoa ya namna hii cha moto atakiona, tena mama mkwe nae wamo kwa ukorofi, kwanini upate nyepesi za mtaa usiyapate kwa "mchumba wako mtarajiwa"? hebu nijue alivyojua mke katimuliwa na mama yake alifanyaje? au ndio akanza kukurushia ndoano?
Huwa sikushangai, napenda hiyo 'courage' ya mtu kujua analotaka na kulisimamia at any cost, japo mie nikiona kwa macho sina kifua cha kusamehe. Ila kama anafanya na sijamshika nahisi hisi tu bora ntavumilia.
He he he, its a long story, kiukweli ni kimbembe cha aina yake, na uwezekano wa kukosa approval ya mama mkwe upo, maana kama wa kwanza alikosa, kwa nini nisiwe mie? Na kama zombie alishindwa mtetea yule wa kwanza, mie ndio ataweza kunitetea. Anaonekana 'mtoto wa mama' kwenye familia yake.
Kila kitu hadi mama akubali
Kiukweli yule dada aliondolewana mama mkwe kwa nyepesi za mtaani
Hakuna kitu kibaya kama kuishi kwa mama mkwe afu mme anafanya kazi mbali
Mbaya zaidi binti alikuwa mama wa nyumbani, so muda wote wako na mama mkwe
Na hapo kwao kuna kazi kama nini, na wao sio wavivu wa kazi, kama una roho ndogo unakimbia
Binti wa watu alikulia Dar, akapelekwa kuishi kwa mama mkwe, banda la ng'ombe, banda la kuku, banda la bata, akasepa.
Mie sina uhakika kama ntayawa hayo, but in case of fire, sitakubali tuishi karibu na mama mkwe.
Ila yule mwanamke mwingine hakuna na ubaya wa kusema, afu hawakuwa wamefunga ndoa, walikwapuana baada ya kupeana mimba.
cc: Dark City Nyamayao snowhite
KUDAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAADEKI! DARKCITY na we si umeshastaafu sasa mpka sa hizi unakomalia kazi za jeshini ili kiwe nini!mambo iko huku baaaana! BAK update daftar la mateja unless na wewe ushakuwa teja kama konnie hapa na safari zako za peramiho zisofikika !Ha ha ha, when am in, nakuwa 'so in'
Watu wenyewe ndo hawa hawa, nitamaliza mabucha bure
Mbona ww ulisamehe? :high5:
KUDAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAADEKI! DARKCITY na we si umeshastaafu sasa mpka sa hizi unakomalia kazi za jeshini ili kiwe nini!mambo iko huku baaaana! BAK update daftar la mateja unless na wewe ushakuwa teja kama konnie hapa na safari zako za peramiho zisofikika !
naona Nicas Mtei kajitolea kufanya usajili wa mateja!
shemeji sajili mwingine huyu!
Kiukweli yule dada aliondolewana mama mkwe kwa nyepesi za mtaani
Hakuna kitu kibaya kama kuishi kwa mama mkwe afu mme anafanya kazi mbali
Mbaya zaidi binti alikuwa mama wa nyumbani, so muda wote wako na mama mkwe
Na hapo kwao kuna kazi kama nini, na wao sio wavivu wa kazi, kama una roho ndogo unakimbia
Binti wa watu alikulia Dar, akapelekwa kuishi kwa mama mkwe, banda la ng'ombe, banda la kuku, banda la bata, akasepa.
Mie sina uhakika kama ntayawa hayo, but in case of fire, sitakubali tuishi karibu na mama mkwe.
Ila yule mwanamke mwingine hakuna na ubaya wa kusema, afu hawakuwa wamefunga ndoa, walikwapuana baada ya kupeana mimba.
cc: Dark City Nyamayao snowhite
AHAHAHAHAHHAHAHAHHAHAHHAHAHHAHAHHHA !babu Dark City lete ubani! watu8 mtani lete kitezo BadiliTabia lete mtandio Nyamayao kafate matarumbeta!
ahahahahahha yani kama nakuona vile unavoongea na hiyo tone hapo!
eti sitakubali kukaa na mama mkwe!
uuuuuwih!
konnie ehn ngoja niwasiliane na nafue ili nifanye boooking kabisa pasaka inaisha muda si mrefu!
ngoja nifanye mpango pia na kuagiza bouqet kabisaaaa!niliagizie nairobi sijui hilo namwachia kisukari
jamani habari ndo hiyo!KONGOSHO ANAOLEWA MWAKA HUU!HUUU HUUU!YANI HUU!
bak to work peeeople!
He he he, anikurupue nini?
Uzuri wangu nikiyavulia maji nguo bana, huwa hakuna 'retreat or surrender'
Ntaweka mpaka mapema, wakakutane shambani sio hapo tutakapokuwa tunaishi, kama ni watoto wao wataelewana waishi wapi, kama wataishi napokaa mie, basi atawasubiri wakati wa likizo, kama wataishi na mama yao, ruksa kuja kwa baba yao likizo. Na wakiishi na mama yao najua suala la matumizi, namweleza mapema awe na account anadeposit asisubiri kuombwa.
Wakiamua kukumbushia wasinioneshe tu.
KUDAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAD EKI! DARKCITY na we si umeshastaafu sasa mpka sa hizi unakomalia kazi za jeshini ili kiwe nini!mambo iko huku baaaana! BAK update daftar la mateja unless na wewe ushakuwa teja kama konnie hapa na safari zako za peramiho zisofikika !
naona Nicas Mtei kajitolea kufanya usajili wa mateja!
shemeji sajili mwingine huyu!
!KONGOSHO ANAOLEWA MWAKA HUU!HUUU HUUU!YANI HUU!
bak to work peeeople!
haya mama, kuwa makini tu maana haona hayo maji unaelekea kuyaoga
Dark City, BADILI TABIA, snowhite nyie watu ni wambea sana.
Ila mmenichekesha hadi machozi, be blessed!