Am tired aisee!

Princess21 na sisi vibabu ni ruksa, kwa sababu experience ya kudate tunayo na kutoa tunatoa siyo wabahili!!!
 
Last edited by a moderator:

Mmmmmh kaz kwekweli
 
I think it's different when a man foot the bill for a woman bruh. Haijalishi ni wapi, ya kitu gani, ama ni kiasi gani.

Yaani huwa unanikoshaga kwenye hilo sanaaa, na i wish you the best of luck katika kuzisaka na zijae hadi zimwagike, hilo ndilo jibu la MWANAUME tena gentleman, ina tofauti mnoooo na inapofanywa na mwanaume hata kama ni kidogo.
 
wakati mwingine ni bora kuwasemea maana wao wapo kimya... wasisubiri vya kupewa watafute vyao...

Hivi unajua ina raha yake ikifanywa na mwanaume, hili ndilo nilionalo, yaaai hata kama yeye atakuwa nazo kiasi gani ila ikifanywa na mwanaume ina nguvu ya ajabu na ladha yake pia. Inatakiwa mtupatie na wala msikimbie jukumu hilo, ni lenu.
 


tigo nayo utoe sio unataka kupandishwa ndege tu
 

Anzisha uhusiano na BOT
 
Nawaza tu
Wanawake ndiyo wengi Tanzania hivi kama wengi wanawaza kama huyu hii nchi itaendelea kweli? Nauliza tu! Maana huyu tayari anataka kuwa tegemezi sasa chukulia 70 %ya wanawake wanafikira za huyu aiseeh hatutoki hapa
 

Nilipata kusoma sehemu ikisema MUNGU wape baadhi ya wanawake akili, kwa maana unapowapa uzuri bila akili kinachoenda kuumia ni sehemu zake za siri, sasa naiamini hii pointi.
 
Umenipenda mwenyewe then unataka nitimize hata nisiyoyaweza???

Nahisi unanionea.....
 
Kumbe unataka ulipiwe na boyfriend wako sababu friends zako wanalipiwa ??? Mmgh unaonaje ukiwa na mawazo tofauti? Fanya hivi jichangechange alafu uende hata mara moja huko nje najua hutamkosa huko wa kukupeleka tena ila nna wasiwasi na upeo wako sababu unachokiwaza hakina faida zaidi ya sifa tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…